Elections 2015 Kulinda kura: Wakili Peter Kibatala afungua kesi Mahakama Kuu

ndio raha ya kua na viongozi watetezi na majasiri..
LAKINI
tatizo liko palepale
kesi ya ngedere kumpelekea nyani !!
 
nimesikia leo wanasema kusubiria matokeo ni kuweka mkusanyiko usio na kibari!

Hii inaitwa kifo ya nyani ikifika miti yote huteleza. Nasema hivyo kwa sababu hata mahakamani hao watu hawatakutwa na hatia zaidi ya kuwapa usumbufu hivyo kuchochea hasira ya kijamii.
 
nimesikia leo wanasema kusubiria matokeo ni kuweka mkusanyiko usio na kibari!

Hii inaitwa kifo ya nyani ikifika miti yote huteleza. Nasema hivyo kwa sababu hata mahakamani hao watu hawatakutwa na hatia zaidi ya kuwapa usumbufu hivyo kuchochea hasira ya kijamii. Na zaidi sana hakuna sheria inayosema uombe kibali cha mkusanyiko, polisi wamekuwa wakilazimishia tu, wameshindwa kesi nyingi mahakamani za aina hiyo. Sheria inasema utoe taarifa ili kupata ulinzi wa polisi. Sasa mkusanyiko wa kulinda kura utakuwa pale kila mtu kivyake thus informal one.
 
Umepata wapi uhalali wa kuwatetea wenye maeneo wote Tanzania! Je kama kuna bar jirani watu wasiende pale. Je kama nyumbani kwangu ni jirani kabisa na kituo cha kupigia kura halafu mimi ni ukawa nikawakaribisha watu pale tunywe ni kosa. Je kama mahali hapo ni puplic road inakuwaje. Nasema siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Oh!, bahati mbaya nabishana na layman, I'm sorry.
 
Enheeeee sasa jk atajua kuwa wananchi tumeamua, wasisahau pia kosa la kutoa data za wapiga kura milioni 28 ambazo sio sahihi, watumie sheria ile iliyopelekwa bungeni kwa mswaada wa dharula na ambao aliusaini haraka sana na kwa mbwembwe nyingi.
 
Huu ndio uzuri wa chadema kudadeki ! Hatumwi mtoto dukani .
 
Enheeeee sasa jk atajua kuwa wananchi tumeamua, wasisahau pia kosa la kutoa data za wapiga kura milioni 28 ambazo sio sahihi, watumie sheria ile iliyopelekwa bungeni kwa mswaada wa dharula na ambao aliusaini haraka sana na kwa mbwembwe nyingi.
 
Hatumdekii MAGUNYOFO wala nini,TUNAMDEKIA LOWASA,na kura tunalinda.EBO.
 
Nchi gani ulinzi unafanywa na mob.Mahakama isipotezewe muda.Polisi wafanye kazi zao.

POLISI wakifanyayao na sisi walindakura tutafanyayetu!kwani petroli hazitauzwa sikuhiyo?
 
..,
Kaa nyumbani kwako lakini sio kulinda kura.usitumie vibaya uhuru wako kwa kuhamishia UKAWA yote humo

Tumekwambia kua kurazetu lazima tulinde,mbona sikuzingine walikua hawajakomalia hivi?kuna nini nyuma ya pazia?nikuulize kitu hao mapolisi mnaotegemea kwani umeambiwa wauza petrololi nao watafungiwa?ngoma droo subiri uone.
 
Nyuma ya pazia unajua mwnyewe ni vurugu za UKAWA
 
Tumekwambia kua kurazetu lazima tulinde,mbona sikuzingine walikua hawajakomalia hivi?kuna nini nyuma ya pazia?nikuulize kitu hao mapolisi mnaotegemea kwani umeamua wauza petrololi nao watafungiwa?ngoma droo subiri uone.

Nyuma ya pazia unajua mwnyewe ni vurugu za UKAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…