Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

Bado tu hujamaliza hili mkuu, kwanini unaumia watu wakitumia hela zao na ambazo hujui wamezitafuta vipi??
Inatosha mwanao kusoma shule za kama so usi force tufanane. Mwisho wa yote hakuna atakae kuja kwako kuomba ada au hifazi siku mtoto akikwama
Masikini akiona tajiri anakula vizuri hujawa na hasira anatamani tajiri ale kama yeye.
Ni sawa na masikini anavyotamani tajiri awe masikini badala ya yeye kuwaza kuwa ka tajiri
 
Generation Z au Zoomers ni kizazi cha waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 hadi 2012. Umri wao ni kati ya miaka 9 hadi 24. Kizazi kitakachofuata baada ya Generation Z kitaitwa Generation Alpha (Generation Alpha and the generations that will come thereafter will be more worse than Generation Z).

Kizazi hiki "Generation Z" kiliandaliwa (kilikuwa programmed) miaka mingi iliyopita na kikundi cha watu wanao itawala dunia.

Moja kati ya sifa za watu wa kizazi Z ni pamoja na:

1. They are 100% ruled and controlled by the internet and social media in general (they are the truly "Digital natives" and netizens of this planet.

2. Their behaviours and life style in general are easily and heavily influenced by celebrities (they don't like to do what their parents are teaching them, they don't like to do what their teachers are telling them, they don't like to do what their imams and pastors are preaching to them, ut they love to do what their favourite celebrities are doing or saying or preaching )

3. They are lenient to homosexuality and Lgbt life style in general.

4. Lack of fear of God.

5. They make very poor and dangerous decisions which are detrimental to their own lives.

6. Low IQs and EQs.

7. Poor health.

8. They are okay with drinking liquors and smoking ( both cigarettes and marijuana)

9. They are okay with drugs ( cocaine etc)

10. Life expectancy ( 40-45 years)

Mzazi chagua mwenyewe.

1. Mpeleke mtoto wako shule ya kayumba ajifunze uhalisia wa maisha kwa kuanza kuwa responsible kuanzia akiwa darasa la kwanza kama vile kufanya usafi shuleni, kujichanganya na watoto wenzake wengi aanze kupata changamoto mapema, kuadhibiwa na walimu anapokosea, kwenda na kurudi shuleni kwa miguu nk, (bado haitamzuia na athari za Generation Z but mzazi hutopata hasara mara mbili 1. Kulipa.mamilioni na mtoto kuathiriwa na gen z).

Au

2. Mlipie mamilioni akae sehemu ambayo anafanyiwa kila kitu (anapewa chakula, anapelekwa shule na gari na kurudishwa na gari, darasani anakuwa spoon fed, etc but mwisho wa siku upate hasara mara mbili (kulipa mamilioni + mtoto kuharibikiwa).
Kwani hao wa zaman wamelifanyia Nini taifa hili zaidi ya kuliongezea umaskn. Nyie wa zaman mmelifanyia Nini taifa hili. Kama mlipata nafasi ya kiutumishi. Mliishia kulibia taifa tu.. na Leo wanauza bandari zetu si ni WA zaman.?
 
Hapo kwenye documentary na vitabu mengi ni theory hayana uhalisia hizi vitabu vya hadithi na uchumi?
Nishaacha kusoma vitabu na kiangalia documentary.
Wewe unaangalia documentary kuhusu Nyerere, baadae itakusaidia nini? Siyo mwalimu, utajua kinachofuata?
Vitabu vingine hata havieleweki unasoma vya kazi gani?
Unaangalia documentary na unasoma vitabu, hapo haujui hata kuinstall windows kwenye computer. Simu yako hata kubadilisha password hujui. Unaenda kwa jirani.
Hata extension cable ikiungua hauna hata uwezo wa kuangalia tatizo nini. Unaenda kutupa jalalani.
Baada ya kugundua hayo, sasa hivi nakula zangu pesa tu.
Kasome kitabu kinaitwa Capitalist Nigger ndio utajua nini maana ta kusoma kitabu.
Kwa mwanasiasa ni muhimu kusoma nadharia za wanasiasa.
Mtume M.S.A.W na MASIHI J.CRIST wamesisitiza kusoma vitabu.
Kanisani na Msikitini mnasomewa vitabu, je wewe sio muumini wa dini?
Waafrika tabia ya kutosoma vitabu ndio inatugharimu hata mambo madogo tu.
Wazungu,Wachina, Wajapan,Wakorea wahindi husoma sana vitabu na ndio watu wenye uelewa wa hali ya juu Duniani.
Vitabu visivyoekeweka ni vya maarifa hasa kama sio fani yako.
Life skill books vinaeleweka hata kwa mtoto mdogo kwa sababu vipo open and direct.
Nyerere ameongelea mpaka utunzaji wa mazingira, je kuna ugumu kuelewa umuhimu wa kutunza mazingira. Je huoni watu wanavyotupa taka taka hovyo?
Je huo ni ustarabu, hawafai kusoma kuhusu mazingira kubadili fikra zao?
Kuamua kutafsiri ya kwenye kitabu ni suala lingine na kusoma ni lingine.
Basi kama ni hivyo hata shule tufute maana watu hawatafsiri walichofundishwa shuleni. Je yaweza kuwa hoja thabiti ? Si dhani!
 
Wahindi, wazungu, wachina, warabu wao wanaandika vitabu kulingana na mazingira na tamaduni zao.. Hata mambo wanayoandika yanasaidia pakubwa kwenye nchi zao
Wataandika vitabu vya kutunza mazingira au usitupe taka ovyo kulingana na mazingira yao ndiyo maana wao wana IQ kubwa kuliko waafrika.
Sasa wewe unasoma kitabu cha capitalist nigger ambacho kimeandikwa Marekani.
Ukibadilisha yaliyoandikwa katika uhalisia na kuyafanya Tanzania, inakataa.
Ni yale yale ya kusoma Fishing industry in Norway. Ukiangalia njia wanazotumia na ukizileta hapa Tanzania zinagoma kwasababu hazipo kwenye uhalisi na mazingira yetu.
Vitabu vizuri vya kusoma kama hivyo ni zile zilizoandikwa na watanzania. Maana atakueleza ili uweze kuwa kufanikiwa kiuchumi unaweza kuanza na mtaji wa laki 1, angalia bidhaa wanazotumia watu wa hali ya chini. Hii imekaa poa, sasa wewe unasoma kitabu cha wazungu unategemea ufanikiwe? Hapana
Hao wanasiasa wanaosoma vitabu vya wazungu, wachina n.k wakija kwenye uhalisia wanashindwa matokeo yake wanabinafsisha bandari milele.
 
Kuna mtu juzi kasema alifukuzwa nyumbani akapewa Gari na Laki 9 cash lakini anasimulia kw machungu sana kwamba aliteseka sana ndani ya miezi miwili.

Huyu mtu ana sifa zote ulizoandika hapo juu.
Ila sina uhakika alizaliwa mwaka gani
Atakuwa Generation Z huyo
 
Haya sasa kizazi kilochokula ada za wazazi kinaanza kutulaumu tena sisi kwa failure zao.
 
Tusisahau kuwafunza dini jamani Hii generation Z,Mimi nasisitiza kwenye dini hapo ndo msingi ulipo
Kingine mzazi ajue majukumu yake yote asikubali kupandwa kichwani na mtoto ,ukiruhusu tu yanakukuta ya Paula na mama Ake
 
Wahindi, wazungu, wachina, warabu wao wanaandika vitabu kulingana na mazingira na tamaduni zao.. Hata mambo wanayoandika yanasaidia pakubwa kwenye nchi zao
Wataandika vitabu vya kutunza mazingira au usitupe taka ovyo kulingana na mazingira yao ndiyo maana wao wana IQ kubwa kuliko waafrika.
Sasa wewe unasoma kitabu cha capitalist nigger ambacho kimeandikwa Marekani.
Ukibadilisha yaliyoandikwa katika uhalisia na kuyafanya Tanzania, inakataa.
Ni yale yale ya kusoma Fishing industry in Norway. Ukiangalia njia wanazotumia na ukizileta hapa Tanzania zinagoma kwasababu hazipo kwenye uhalisi na mazingira yetu.
Vitabu vizuri vya kusoma kama hivyo ni zile zilizoandikwa na watanzania. Maana atakueleza ili uweze kuwa kufanikiwa kiuchumi unaweza kuanza na mtaji wa laki 1, angalia bidhaa wanazotumia watu wa hali ya chini. Hii imekaa poa, sasa wewe unasoma kitabu cha wazungu unategemea ufanikiwe? Hapana
Hao wanasiasa wanaosoma vitabu vya wazungu, wachina n.k wakija kwenye uhalisia wanashindwa matokeo yake wanabinafsisha bandari milele.
Kwa hio unaendelea kusisitiza kuwa tusisome vitabu? Watoto wako unawaambia wasisome vitabu. Hayo maarifa mtu mweusi atayapata wapi bola kusoma vitabu?
We mwenyewe upo kudoma msg za watu humu halafu unasisitiza watu wasisome, kweli?
Tukakae vijiwe vta kahawa, mpira. Ulevi nk ndio vizuri zaidi .
 
Ni hivi
Sisi wafrika tuandike vitabu sisi wenyewe ambavyo vina uhalisia kulingana na mazingira na tamaduni zetu. Vitatusaidia kujikwamua kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni.
Tusome vitabu vilivyoandikwa na watanzania na waandishi wengine wa afrika kwenye nchi zao
Unasoma fishing industry in norway. Tool zinazotumika ni advanced technology zenye thamani ya milion 100. Unategemea mwananchi ambaye hata kulipa laki 6 kwa mwaka km kodi ya chumba na sebule hawezi ataweza?
 
Generation Z au Zoomers ni kizazi cha waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 hadi 2012. Umri wao ni kati ya miaka 9 hadi 24. Kizazi kitakachofuata baada ya Generation Z kitaitwa Generation Alpha (Generation Alpha and the generations that will come thereafter will be more worse than Generation Z).

Kizazi hiki "Generation Z" kiliandaliwa (kilikuwa programmed) miaka mingi iliyopita na kikundi cha watu wanao itawala dunia.

Moja kati ya sifa za watu wa kizazi Z ni pamoja na:

1. They are 100% ruled and controlled by the internet and social media in general (they are the truly "Digital natives" and netizens of this planet.

2. Their behaviours and life style in general are easily and heavily influenced by celebrities (they don't like to do what their parents are teaching them, they don't like to do what their teachers are telling them, they don't like to do what their imams and pastors are preaching to them, ut they love to do what their favourite celebrities are doing or saying or preaching )

3. They are lenient to homosexuality and Lgbt life style in general.

4. Lack of fear of God.

5. They make very poor and dangerous decisions which are detrimental to their own lives.

6. Low IQs and EQs.

7. Poor health.

8. They are okay with drinking liquors and smoking ( both cigarettes and marijuana)

9. They are okay with drugs ( cocaine etc)

10. Life expectancy ( 40-45 years)

Mzazi chagua mwenyewe.

1. Mpeleke mtoto wako shule ya kayumba ajifunze uhalisia wa maisha kwa kuanza kuwa responsible kuanzia akiwa darasa la kwanza kama vile kufanya usafi shuleni, kujichanganya na watoto wenzake wengi aanze kupata changamoto mapema, kuadhibiwa na walimu anapokosea, kwenda na kurudi shuleni kwa miguu nk, (bado haitamzuia na athari za Generation Z but mzazi hutopata hasara mara mbili 1. Kulipa.mamilioni na mtoto kuathiriwa na gen z).

Au

2. Mlipie mamilioni akae sehemu ambayo anafanyiwa kila kitu (anapewa chakula, anapelekwa shule na gari na kurudishwa na gari, darasani anakuwa spoon fed, etc but mwisho wa siku upate hasara mara mbili (kulipa mamilioni + mtoto kuharibikiwa).
Hatari sana na hii 'artificial intelligence' ndio itatawala zaidi dunia miaka ijayo, sijui itakuwaje kwa kweli ?
 
Ni hivi
Sisi wafrika tuandike vitabu sisi wenyewe ambavyo vina uhalisia kulingana na mazingira na tamaduni zetu. Vitatusaidia kujikwamua kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni.
Tusome vitabu vilivyoandikwa na watanzania na waandishi wengine wa afrika kwenye nchi zao
Unasoma fishing industry in norway. Tool zinazotumika ni advanced technology zenye thamani ya milion 100. Unategemea mwananchi ambaye hata kulipa laki 6 kwa mwaka km kodi ya chumba na sebule hawezi ataweza?
Sahihi
 
Back
Top Bottom