Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #21
Tunaweza sema hivyo. Japo nao hizo nguo walizitumia kununua vitu vingine, kama kulipa wanaoenda kuwinda tembo, kukamata watumwa nk. Nafikiri tunaweza kusema vitu hivyo vilikuwa pesa kamili(Yaani medium of exchange na store of value)Okay, kumbe ilikuwa ni biashara ya kubadirishana vitu kwa vitu π
Ila still walipiga Utajiri Mkubwa hadi kufanya kutengeneza kwa Koo maarufu miaka ile.
Lyc...Shuleni tulifundishwa habari ya Abushiri wa Tanga kupigana na wakoloni wa kijerumani. Alitajwa kama shujaa mpigania uhuru kumbe hamna lolote. Kumbe jamaa alikuwa anamiliki mashamba makubwa na watumwa. Kifupi alikuwa anapigania nafasi ya kuendelea kukandamiza wengine. Hakuwa na maana kabisa.
View attachment 2644629
Kumbe alikuwa ana asili ya Zanzibar, imezoeleka Zanzibar ina watu laini laini wasioweza kupigana Vita maana hata yale mapinduzi yao ya mwaka 1964 yalisaidiwa kwa sehemu kubwa na WageniLyc...
Naomba kusahihisha kidogo.
Abushiri bin Salim si mtu wa Tanga yeye kwao ni Zanzibar na aliishi Pangani baada ya kuondoka Zanzibar.
Shukrani kwa Maarifa Mkuu, seems uko deep somo la HistoryTunaweza sema hivyo. Japo nao hizo nguo walizitumia kununua vitu vingine, kama kulipa wanaoenda kuwinda tembo, kukamata watumwa nk. Nafikiri tunaweza kusema vitu hivyo vilikuwa pesa kamili(Yaani medium of exchange na store of value)
Naona unatuoshea B YakoNimekumbuka somo la Histori miaka ile, japo nilisoma Sayansi A'level lakini nilipata B ya History π€ͺ
Ukikutana na Walimu wanaojua, masomo huwa marahisi sana kuelewa π
Ya ujingaMNaona unatuoshea B Yako
Hapana, napitia tu hapa na pale.Shukrani kwa Maarifa Mkuu, seems uko deep somo la History
Sio lengo langu Mkuu, nimekuwa na mapenzi na History tu.Naona unatuoshea B Yako
Una library ya vitabu vya History hapo nyumbani kwako?Hapana, napitia tu hapa na pale.
Waafrika tuna tabu... Yani kwenye haya mambo hayaaaa. Tena umuandikie doh! Maskini faisali weee πAchana na huyo mpigania Uhuru, soma historia ya Chief Mangungo aliyeonekana ameingia Mkataba wa Kitapeli na Carl Peters kutokana na Kukosa Elimu na Exposure.
Siku hizi Watawala wetu wamesoma hadi Elimu za Masters au PhD lakini Mikataba wanayosainishana ni zaidi ya ile ya Chifu Mangungo π
Shida yao hawapo kwaajili yetu, wapo kwa Maslahi yao zaidi badala ya Wananchi π’Waafrika tuna tabu... Yani kwenye haya mambo hayaaaa. Tena umuandikie doh! Maskini faisali weee π
Ajabu Wafrika hawajifunzi. Eti leo wanadhani mchina ni ndugu yao!!!The world is jungle,swala huliwa na Simba,kuku na mwewe,hakuna huruma
Shuleni tulifundishwa habari ya Abushiri wa Tanga kupigana na wakoloni wa kijerumani. Alitajwa kama shujaa mpigania uhuru kumbe hamna lolote. Kumbe jamaa alikuwa anamiliki mashamba makubwa na watumwa. Kifupi alikuwa anapigania nafasi ya kuendelea kukandamiza wengine. Hakuwa na maana kabisa.
View attachment 2644629
Una sababu zako kumchagua Abushiri ambae utawala wake hauna tofauti na Mirambo na Mangi sina na Mangi Meli....Shuleni tulifundishwa habari ya Abushiri wa Tanga kupigana na wakoloni wa kijerumani. Alitajwa kama shujaa mpigania uhuru kumbe hamna lolote. Kumbe jamaa alikuwa anamiliki mashamba makubwa na watumwa. Kifupi alikuwa anapigania nafasi ya kuendelea kukandamiza wengine. Hakuwa na maana kabisa.
View attachment 2644629
Wanasoma historia zao. Bila kujua historia yako hufiki popote.Tunafundishwa vitu ambavyo havina hata maana mashuleni na bado hatujiongezi
Nchi zilizoendelea hawafundishani hadithi, yaani unaangaliwa unapenda nn? Kazi inaendelea utafundishwa historia ambayo ni muhimu kuijua tu