Kumbe Abushiri wa Tanga aliyepigana na wajerumani na kunyongwa hakuwa na maana yoyote

Okay, kumbe ilikuwa ni biashara ya kubadirishana vitu kwa vitu 🙌

Ila still walipiga Utajiri Mkubwa hadi kufanya kutengeneza kwa Koo maarufu miaka ile.
Tunaweza sema hivyo. Japo nao hizo nguo walizitumia kununua vitu vingine, kama kulipa wanaoenda kuwinda tembo, kukamata watumwa nk. Nafikiri tunaweza kusema vitu hivyo vilikuwa pesa kamili(Yaani medium of exchange na store of value)
 
Shuleni tulifundishwa habari ya Abushiri wa Tanga kupigana na wakoloni wa kijerumani. Alitajwa kama shujaa mpigania uhuru kumbe hamna lolote. Kumbe jamaa alikuwa anamiliki mashamba makubwa na watumwa. Kifupi alikuwa anapigania nafasi ya kuendelea kukandamiza wengine. Hakuwa na maana kabisa.
View attachment 2644629
Lyc...
Naomba kusahihisha kidogo.

Abushiri bin Salim si mtu wa Tanga yeye kwao ni Zanzibar na aliishi Pangani baada ya kuondoka Zanzibar.

Unaweza kupata historia ya Abushiri hapo chini:

Lyc...
Naomba kusahihisha kidogo.

Abushiri bin Salim si mtu wa Tanga yeye kwao ni Zanzibar na aliishi Pangani baada ya kuondoka Zanzibar.
Kumbe alikuwa ana asili ya Zanzibar, imezoeleka Zanzibar ina watu laini laini wasioweza kupigana Vita maana hata yale mapinduzi yao ya mwaka 1964 yalisaidiwa kwa sehemu kubwa na Wageni
 
Tunaweza sema hivyo. Japo nao hizo nguo walizitumia kununua vitu vingine, kama kulipa wanaoenda kuwinda tembo, kukamata watumwa nk. Nafikiri tunaweza kusema vitu hivyo vilikuwa pesa kamili(Yaani medium of exchange na store of value)
Shukrani kwa Maarifa Mkuu, seems uko deep somo la History
 
M
Nimekumbuka somo la Histori miaka ile, japo nilisoma Sayansi A'level lakini nilipata B ya History 🤪

Ukikutana na Walimu wanaojua, masomo huwa marahisi sana kuelewa 🙌
Naona unatuoshea B Yako
 
Utawala wowote wa kichifu na kifalme huwa ni wa kibabe na utumwa , hamna kitu .. chief na mfalme wanakuwa kama Mungu mana pia wengi walikuwa ni makuhani wa Miungu , kosa kidogo tuu unaazibiwa vikali , tawala zilikuwa za hovyo mno , hao akina mkwawa sjui mtemi mirambo ni chenga tuu , Kwanza hakunaga shujaa anayeshindwa , sjui Kwa nn wanawaita mashujaa hao wahuni
 
Achana na huyo mpigania Uhuru, soma historia ya Chief Mangungo aliyeonekana ameingia Mkataba wa Kitapeli na Carl Peters kutokana na Kukosa Elimu na Exposure.

Siku hizi Watawala wetu wamesoma hadi Elimu za Masters au PhD lakini Mikataba wanayosainishana ni zaidi ya ile ya Chifu Mangungo 🙌
Waafrika tuna tabu... Yani kwenye haya mambo hayaaaa. Tena umuandikie doh! Maskini faisali weee 😭
 
Shuleni tulifundishwa habari ya Abushiri wa Tanga kupigana na wakoloni wa kijerumani. Alitajwa kama shujaa mpigania uhuru kumbe hamna lolote. Kumbe jamaa alikuwa anamiliki mashamba makubwa na watumwa. Kifupi alikuwa anapigania nafasi ya kuendelea kukandamiza wengine. Hakuwa na maana kabisa.
View attachment 2644629

Hata wakina Mirambo waliuza watumwa ...hutakuja kuwaponda humu....
Shuleni tulifundishwa habari ya Abushiri wa Tanga kupigana na wakoloni wa kijerumani. Alitajwa kama shujaa mpigania uhuru kumbe hamna lolote. Kumbe jamaa alikuwa anamiliki mashamba makubwa na watumwa. Kifupi alikuwa anapigania nafasi ya kuendelea kukandamiza wengine. Hakuwa na maana kabisa.
View attachment 2644629
Una sababu zako kumchagua Abushiri ambae utawala wake hauna tofauti na Mirambo na Mangi sina na Mangi Meli....
 
Tunafundishwa vitu ambavyo havina hata maana mashuleni na bado hatujiongezi

Nchi zilizoendelea hawafundishani hadithi, yaani unaangaliwa unapenda nn? Kazi inaendelea utafundishwa historia ambayo ni muhimu kuijua tu
 
Wanasoma historia zao. Bila kujua historia yako hufiki popote.
 
Back
Top Bottom