Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #21
Tunaweza sema hivyo. Japo nao hizo nguo walizitumia kununua vitu vingine, kama kulipa wanaoenda kuwinda tembo, kukamata watumwa nk. Nafikiri tunaweza kusema vitu hivyo vilikuwa pesa kamili(Yaani medium of exchange na store of value)Okay, kumbe ilikuwa ni biashara ya kubadirishana vitu kwa vitu 🙌
Ila still walipiga Utajiri Mkubwa hadi kufanya kutengeneza kwa Koo maarufu miaka ile.