Kumbe Adamu alikuwa na mke zaidi ya Hawa?

Naam, Lilith aliumbwa nguvu sawa sawa na Adam {mumewe}

Kupitia hilo akawa mkaidi kwa kutaka kuwa juu pasi na kuwa na unyenyekevu kwa Adam


Kupitia hilo Mungu akampatia Eva ambaye alifanywa dhaifu (kimwili) ili aweze kuwa msaidizi haswa.



N.B Now kwa dunia inavyokwenda, akina EVA hawapo na tunaishi na akina LILITH.
 
Hayo wanayasoma kutoka kitabu cha lost.books from Bible wanapoyahubiri wawaambie waamini references wasijifanye wameoteshwa.

Naamini kuwa Kanisa Katoliki bado linampango wa kuchomoa vitabu na kuingiza vingine kwenye Biblia.

Issue ya muda tu.
 

Story ya Lilith ipo hapo na msingi wake wa utukutu.

Zingine ni mke wa Joshua ambayo bsckground yake haipo kwenye bible na kwanini aijaelezewa.

Daniel tofauti na anavyoelezewa kwenye bible wakati uhalisia alikuwa mtukutu kwenye vitabu vingine. (You might need U.K. IP address to watch).

Hizo hadithi za vitabu vya dini, zilikuwa ni legends za waisrseli ambazo zina variation. Kwenye kuandika vitabu vya dini watu wakachagua version za story wanazozani zinafaa.

Kabla ya Constantine mtaa mmoja unaweza kuta mtaa mmoja una makanisa matatu kila mtu ana version yake ya ukristo na jewish na kila nyumba inafanya ibada kwa mtindo wake.

Ukifuatilia historia ya dini utakuja kugundua wakristo, Jews na waislamu vitabu vyao vinafanana ni kwa sababu ni wendawazimu ambao msingi wao wa kupishana upo kwenye story walizoamua tu kuchagua kutengeneza vitabu vyao vya dini,

Kabla ya kutengeneza vitabu vya hizo story zillikuwepo na kulikuwa na makundi luluki kila mtu anafanya ibada kwa mtindo wake. Hizo dini tatu ndio zilitumia nguvu kufanya consolidation ya kufuata mtindo fulani wa kuabudu na kuchagua versions za story zinazowafaa wao.
 
😆😆😆
 
soma biblia kwa kutulia, soma mwanzo 1 na mwanzo 2 kwa utulivu kabisa na tafakuri ya kina utamwelewa mzee wa upako.
Kwamba tukisoma sura hizo kwa utulivu tutalikuta hadi jina la Lilith? 😂
 
.Hata hii Biblia ni Roman Catholic ndio walioamua kipi upewe wewe wa chini thus vitabu vingine vyenye siri mbali mbali vimefichwa maktaba za Vatican utakiwi wewe masikini kuzijua.
Unajua kitabu cha Enoko,
Sasa kama vimefichwa kwa siri, wewe umejuaje kuhusu kitabu cha Enock? Au wewe ndugu yetu sio mtu wa chini?
 
We mzigua wa Dihombo acha uongo.
 
Sasa najiuliza mbona huku kitaa hatuambiwi habari hizi kwa uwazi na ukubwa wake kwanini habari hizi zinafichwafichwa kama bangi? shida nini hasa?
Ametaja rejea yoyote?
Maana huyo naye tuliambiwa ameanza kubwia vilevi
 
Na kwa wajuvi mtujuze huyu mama yetu wa mwanzo Lilith aliishia/alienda wapi?
Aliolewa na aliemshawishi wakaenda kuishi mafichoni akamtia Mimba, kuna uzi upo humu umeelezea kuhusu hayo pitiapitia utaukuta
 
iyo link haifunguki mbn
 
tuwekee link kiongozi km hutajali
Soma :

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…