Lakini mkuu hiyo ishu ya kupanga ni kweli au propaganda ?kweli diamond hadi leo hajajenga? Kama hajajenga kuna something wrong
Mtu amiliki magar ya kifahar namna , Ile awe na vituo vya redio , afanye show nje ya nchi dozen na dozen , ashindwe kujenge nyumba ??? Au tunapenda Tu kumdharau kijana wa watu ....
Hivi mnajua Mil 400 kweli au huwa mnaandika tu?
Zaidi ya Miaka 6 ameshindwa kuleta Rozi Rozi amebakiza porojo tu ila ni technik nzuri sana ya kuwapanga wadhamini wakija ili waje vizuri.
Mtu mwenye pesa angalia nyumba yake tu,sasa mtu mwenye pesa kweli anaendelea kupanga? Kama anaingiza mil 55 kwa wiki ,ameshindwa kabisa kununua beach plot ya mil 600 na kuweka mansion?
Tajiri anashindwa kumpa baba yake mlezi hata ka raum atembelee?
Umekaa kike kike japo unajitanaibisha kama mwanaume, utakua mboga yao wewe
Mkuu kupanga ni kuchagua.....kuna watu kibao mjini hapa wana nyumba wamejenga lakini bado wamepanga
Yote tisa ila katudanganya kuhusiana na maswala ya kununua private jet for $5million.. Sidhani kama anaweza Ku afford it maana ni zaidi ya bilioni 11 za kitanzaniaSawa Mkuu nakubaliana na wewe ila hii ipo tofauti kwa Bilionea Dayamondi....Uwezo wa Kujenga Mansion la hatari anao lakini nashangaa hajajenga bado!! Ukiachana na nyumba za kuwavua watu za mil 20 au 25 au Nyumba ya Mama yake Madale ya kukaa yeye naona hana,nina amini uwezo wa Kujenga anao labda anajenga kimya kimya.
Mmmh Chai, Hiyo serikali labda ya Congo.Mkwe wangu alistaafu mwaka jana na alikua senior officer serikalini akaramba mafao ya mil 500
Hii ni sawa na miezi miwili tu ya huyu chizi
Kweli maisha hayajawahi kuwa fair
Wasafi na Diamond karanga sio zake, ndio maana Diamnod karafa zimepoteaMtu amiliki magar ya kifahar namna , Ile awe na vituo vya redio , afanye show nje ya nchi dozen na dozen , ashindwe kujenge nyumba ??? Au tunapenda Tu kumdharau kijana wa watu ....
Anasema wakati wote akitaka ananunua ndege
Jamaa hela anayo [emoji2][emoji2]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa utaingizaje hela zote hizo alafu uwe mpangaji!?Amepanga
Ndio hapo halafu Kuna watu wanamsapoti kwamba eti kupanga ni kuchaguaKweli kabisa utaingizaje hela zote hizo alafu uwe mpangaji!?
Tajiri anatakiwa ajenge wapi mkuu?mbona mzee Mengi alikuwa amejenga kinondoni?Hawa wezi tuu, na hawana hela kama wanavyoonyesha kutafuta kiki...angekuwa ana hela asingepanga nyumba anayoishi ama kwenda kujenga madale...angemvua mtu hapo nyumba zilizokuwa za serikali oysterbay asushe mansion, kuna beach plots za kutosha milioni 300 - 600 mbezi aisngeshindwa kununua...tajiri anaenda kujenga madale??
Mbona haushangai wahindi kibao wana maviwanda na investments nyingi tu hapa bongo lakini wanaishi nyumba za kupanga za NHC?Ndio hapo halafu Kuna watu wanamsapoti kwamba eti kupanga ni kuchagua
Kwa mtu mwenye hela Kama yeye itakuwa ni mipango mibovu kuamua kuishi nyumba ya kupanga DSM mkoa anapofanyia kazi zake nyingi.
Mimi binafsi siwezi kuishi nyumba ya kupanga hapa dsm na kuacha kuishi nyumbani kwangu
Ingawaje siingizi hela anayoclaim anaingiza yeye anayeishi nyumba ambayo inauzwa na mmiliki
Tajiri anatakiwa ajenge wapi mkuu?mbona mzee Mengi alikuwa amejenga kinondoni?
Siku ukiwaelewa wasanii hutakaa uamini mtu yoyote duniani.unamaana hana nyumba, gari pesa nk inamaana zile Show zote ni feki L, TV Radio fake, Wcb ni fake wasanii waliochini tae ni midori au mimi ndio sielewi
Basi kwamantiki hii Tz hakuna mwenye pesa
hii inaapply kwa yusuphu bakhressa hana maneno mengi ni vitendo tu...Pesa ilipo hua haitaki hadithi, yenyewe hua inafanya matukio then mnabaki vinywa wazi, sema kusaga anamtumia huyu jamaa vizuri kiuwekezaji,