Kumbe Diamond Karanga Diamond ni balozi! Mali ni ya Joseph Kusaga

Unaonyesha ni mfuasi mzuri wa Mange
 
Hata WASAFI sio yake ni ya Ruge, wale watoto na Zari sio wake ni wa Katunzi na Ivan, yule na Hamisa Mabito ni wa Majizo. Nyumba zote anazopiga picha sio zake ni za Le Mutuz. Yaani huyu Diamond ni bure kabisa. Kiki tu kama pikipiki.
HAHAHAAA dogo wanamsakamaga kinoma kwa machuki yao ya kijinga daaah
 
Ukifanikiwa weqe ntakunya online maneke watu kama nyie mmm
 
Diamond ana washauri, wanasheria na wadau wengine wenye weledi, sidhani kama wanaweza kumuacha akaingia mkenge kwenye issues za matangazo n.k kwa watu wengine, as other thinkers they judge...!
 
Kipi kilichokuumiza?
Wacha unafiki ati nimeumia, mfyuuu
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana..

Hivi ikatokea wameambiwa Diamond anagawana nusu ya faida na mmiliki? Maana Diamond ndio anafanya hizi karanga ziuzwe!
 
Ingependeza mkaweka clip ambayo diamond alisema kuwa hizo ni karanga zake. Akili zenu zilivyoamua kufikiri lisiwe kosa la diamond, akili zenu zilijiaminisha kuwa karanga mi za Naseeb, alafu huyo dada yenu amakiri kuwa karanga hizo zilikiwapo toka kitambo ila zilikiwa hazijulikani mpaka alipozitangaza Diamond.
 
Kwa hiyo povu la nini??
Yaani uzi wote huu ni kwamba kumtakia mabaya jamaa, dah! Iwe zake au sio zake kuna tatizo lolote?? Kuna siku yeye alisema ni zake au sio zake??
Wanaume wa kike mnaongezeka kwa kasi ya ajabu sana.
Hahaha Povu la nini sasa mwanaume hawez kuwa wa kike mkuu.Jamaa balozi tuu
 
Mtu anakaa kabisa kusema Diamond afanye maamuzi magumu kuonyesha jinsi gani tulivyo wajinga!.. Hizo karanga hata kama zingekuwa za Ali Kiba sawa tu cha kujiuliza ni Diamond analipwa kiasi gani kuzitangaza!?.
Tumeanza kuelewana sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…