Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Hayo majibu ya dieniei ya mwana chitohori yeye sara aliyapata wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo siku hizi ukaenda hospital kupima DNA kisha ukakuta mtoto sio wako ni kipimo cha kuwa huna wezo wa kumpa mwanamke mimba? Naomba mnisaidie''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA''
Msanii Harmonize kutoka Konde Gang siku ya jana alimtambulisha mwanaye wa kike ambaye anadai kumficha kwa takriban miezi 19. Harmonize amedai kuficha mtoto huyo ili kulinda mahusiano yake na mpenzi wake wa siku nyingi Bibie wa Kiitaliano Sarah Michelotti.
Za kunyapia nyapia siku za hivi karibuni ni kwamba Harmonize na mpenziwe huyo kutoka Italia mambo yao hayako sawa kiasi cha kupelekea Harmonize kuyumba katika kazi zake za sanaa baada ya kukosa msaada wa bibiye huyo.
Baada ya Harmonize kuweza wazi mwanaye huyo wa kike, Bibiye Sarah ameng'aka na kuweka wazi majibu ya vipimo vya DNA alivyofanyiwa Harmonize na Bintiye ambavyo vimeonesha kuwa SIYO mtoto wa kumzaa wa Harmonize.
Nanukuu alichoandika Sarah Michelotti katika akaunti yake ya Instagram(Verified)
Mungu wangu watu kweli wamevurugwa, mara mbili wamepima DNA ya mtoto bado majibu ni Negative., Ila kwakua umeshindwa kupata mtoto umeamua kujipa mtoto asie wako....hongera kwa adoption, utakua na roho nzuri 🤣🤣hukujua jinsi ya kutunza mke sababu ya maovu yako natumai utajua kutunza mtoto 🤣🤣🤣 UKOME KUONGOPEA MASHABIKI ZAKO. Dah 🙏 I post it in swaili language, so everybody will understand 👌
Ni hayo wajumbe wa JF
Mwisho nimshauri Harmonize kwamba ''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA''
Waswahili kweli ni majanga.
Yaani kutokua na uwezo wa kutia mimba mwanamke huo ni mkosi!
Inafikirisha sana. Itakuwa ni kikiHayo majibu ya dieniei ya mwana chitohori yeye sara aliyapata wapi?
Huyo dem Gattuso mwenyewe kanyosha mikono.Aisee huyo mama wa kiitaliano kwa hicho kiswahili akina pirlo hawana dada,amekuwa kama mwajuma wa buza kanisani
Bila kiki nani atakuongelea mjiniYaani KONDE BOY ashaanza kutegemea KIKI kufanya mziki?
Juzi nilimsikiliza bongo zozo wasafi fm na hili la Sara inainekana uswahili unaambukizaAisee huyo mama wa kiitaliano kwa hicho kiswahili akina pirlo hawana dada,amekuwa kama mwajuma wa buza kanisani
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Mambo ya kuamini kuwa lazima tuzae wote duniani huo ni "USHAMBAA"