Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣😁Huyo dem Gattuso mwenyewe kanyosha mikono.
Mkuu,ngozi nyeusi tuna shida.Waswahili kweli ni majanga...[emoji134]
Yaani kutokua na uwezo wa kutia mimba mwanamke huo ni mkosi..!![emoji3525]
Kweli aisee,kuzaa ni majaliwa.Mambo ya kuamini kuwa lazima tuzae wote duniani huo ni "USHAMBAA"
King Kong III mziki ushakuwa mgumu kwa huyu bwana mdogoYaani KONDE BOY ashaanza kutegemea KIKI kufanya mziki?
Watanzania wengi ni social father.Fatherhood is social NOT biological...Kama ameamua kwa hiari yake kuadopt mtoto kuna ubaya gani?! Ichi kibibi cha kiitaliano kitulie tu
Hoja hupingwa kwa hoja haya atuonyeshe mke aliyewahi kumtunga mimba kuprove kuwa anao uwezoKwahiyo siku hizi ukaenda hospital kupima DNA kisha ukakuta mtoto sio wako ni kipimo cha kuwa huna wezo wa kumpa mwanamke mimba? Naomba mnisaidie
Asikimbie hoja joka la kibisaTunajua ni kick ndio!
Kinachonisikitisha ni huyo mzungu kujiingiza kwenye huu ujinga
Yanayoikwamisha Nchi Hii Ni Mengi SanaWaswahili kweli ni majanga...🙆
Yaani kutokua na uwezo wa kutia mimba mwanamke huo ni mkosi..!!☹️
MkuuHoja hupingwa kwa hoja haya atuonyeshe mke aliyewahi kumtunga mimba kuprove kuwa anao uwezo
Anapozwa Na Kuvaa Heleni Pia KusukaRajabu amekua sasa
Mke wa Hamonaiza ndiyo ka[posti na kasema ni mkosi, huyo mwanamke ni mtaliano na ni beberuWaswahili kweli ni majanga...🙆
Yaani kutokua na uwezo wa kutia mimba mwanamke huo ni mkosi..!!☹️
Twende polepole. Kipi kilifanya wapimr DNA zaidi ya mara mbili kuhakiki uhalali wa baba? Kwa Tanzania kibali cha kupima DNA hutolewa na mahakama, mbona sijawahi kusikia hamo akiwa na kesi mahakamani zaidi ya kesi yake na wasafi? Alimficha mtoto miezi 19 ili kulinda mahusiano, huyo mwanamke alipataje hayo majibu ya DNA?Waswahili kweli ni majanga...[emoji134]
Yaani kutokua na uwezo wa kutia mimba mwanamke huo ni mkosi..!![emoji3525]
Ndio mahusiano ya ki celebrityWanakoelekea hawa ni kuanikana kuwa mmoja kibamia na mwingine bwawa......ni suala la muda tu
Hujajibu swali langu bali umepindisha mada, swali linasema hivi " siku hizi kipimo cha DNA kikionyesha kuwa mtoto sio wako ni udhibitisho kuwa huwezi kumpa mimba mwanamke"?Hoja hupingwa kwa hoja haya atuonyeshe mke aliyewahi kumtunga mimba kuprove kuwa anao uwezo
ndiyoHujajibu swali langu bali umepindisha mada, swali linasema hivi " siku hizi kipimo cha DNA kikionyesha kuwa mtoto sio wako ni udhibitisho kuwa huwezi kumpa mimba mwanamke"?