Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Ni sawa,lakini sio suala la kuona aibu au kuwa stressed kana haukujaliwa,,,Aise bora ukose kila kitu lakini siyo mtoto. Hujui tu ladha ya kuwa na kid ..assume baba na mamako wasingekutana leo usingekuwepo.