Kumbe Harmonize joka la kibisa! Mkewe aanika wazi kuwa hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

Kumbe Harmonize joka la kibisa! Mkewe aanika wazi kuwa hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

Kwahiyo siku hizi ukaenda hospital kupima DNA kisha ukakuta mtoto sio wako ni kipimo cha kuwa huna wezo wa kumpa mwanamke mimba? Naomba mnisaidie
Kwa hapa Tanzania Hakuna Hospital inapima DNA;

Taasisi yenye mamlaka hayo ya kupima DNA ni Ofisi ya Mkemia Mkuu kwa kutumia maabara yake iliyopo mtaa wa barabara ya Obama.

Hivyo vipimo itakuwa ni nje ya Nchi.

Na majibu ya DNA kopi wanakuwa nazo wazazi na nakala halisi anabakia nayo taasisi iliyoomba vipimo hivyo ambayo ni

1. Mwanasheria.

2. Mahakama.

3. Polisi.
 
Naimba tu:
..!!! .
...
Ukitembea peke yako watasema wee ndo mubaya !!! Kujulikana kuna Mambo!!! Lwambo wetu Francooo!..oo!!.. Bandugue,

Narobakie kurorobaee Bebiee!!eee!!
Nini hii umeandika mkuu? 😬
 
Kumbe huyu mmskonde ni mshamba hivi..!!,kwani lazima uwe na mtoto?,ili iweje? Just kujishow kwa watu kuwa nawe una mtoto? Kwa faida gani sasa?.
Ugumba sio laana,,,asione aibu sababu tu eti hana mtoto,,
 
Kumbe huyu mmskonde ni mshamba hivi..!!,kwani lazima uwe na mtoto?,ili iweje? Just kujishow kwa watu kuwa nawe una mtoto? Kwa faida gani sasa?.
Ugumba sio laana,,,asione aibu sababu tu eti hana mtoto,,
ndiyo ujue elimu inahitajika sana , si kwa huyu mmakonde, ila kwa watanzania kwa ujumla.
 
''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA''


Msanii Harmonize kutoka Konde Gang siku ya jana alimtambulisha mwanaye wa kike ambaye anadai kumficha kwa takriban miezi 19. Harmonize amedai kuficha mtoto huyo ili kulinda mahusiano yake na mpenzi wake wa siku nyingi Bibie wa Kiitaliano Sarah Michelotti.

Za kunyapia nyapia siku za hivi karibuni ni kwamba Harmonize na mpenziwe huyo kutoka Italia mambo yao hayako sawa kiasi cha kupelekea Harmonize kuyumba katika kazi zake za sanaa baada ya kukosa msaada wa bibiye huyo.

Baada ya Harmonize kuweza wazi mwanaye huyo wa kike, Bibiye Sarah ameng'aka na kuweka wazi majibu ya vipimo vya DNA alivyofanyiwa Harmonize na Bintiye ambavyo vimeonesha kuwa SIYO mtoto wa kumzaa wa Harmonize.

Nanukuu alichoandika Sarah Michelotti katika akaunti yake ya Instagram(Verified)

Mungu wangu watu kweli wamevurugwa, mara mbili wamepima DNA ya mtoto bado majibu ni Negative., Ila kwakua umeshindwa kupata mtoto umeamua kujipa mtoto asie wako....hongera kwa adoption, utakua na roho nzuri [emoji1787][emoji1787]hukujua jinsi ya kutunza mke sababu ya maovu yako natumai utajua kutunza mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787] UKOME KUONGOPEA MASHABIKI ZAKO. Dah [emoji120] I post it in swaili language, so everybody will understand [emoji108]

Ni hayo wajumbe wa JF


Mwisho nimshauri Harmonize kwamba ''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA''

Hivi kuna wazungu nao wana majungu kama wandengereko?

Huyo Sarah kazaliwa Rufiji au Italy, maana huo mwandiko hata Da Mange anasubili.
 
Kumbe huyu mmskonde ni mshamba hivi..!!,kwani lazima uwe na mtoto?,ili iweje? Just kujishow kwa watu kuwa nawe una mtoto? Kwa faida gani sasa?.
Ugumba sio laana,,,asione aibu sababu tu eti hana mtoto,,
Aise bora ukose kila kitu lakini siyo mtoto. Hujui tu ladha ya kuwa na kid ..assume baba na mamako wasingekutana leo usingekuwepo.
 
Back
Top Bottom