Kumbe Harmonize joka la kibisa! Mkewe aanika wazi kuwa hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

Kwahiyo siku hizi ukaenda hospital kupima DNA kisha ukakuta mtoto sio wako ni kipimo cha kuwa huna wezo wa kumpa mwanamke mimba? Naomba mnisaidie
 
Waswahili kweli ni majanga.

Yaani kutokua na uwezo wa kutia mimba mwanamke huo ni mkosi!

Kwenye jamii zetu za ki africa. Ni changamoto, na wahanga hufikia mahali saikolojia yao kuyumba. Mungu amsaidie amjalie .. ni maumivu sana kutokuwa na uwezo wa kutingisha mimba alafu upo katika jamii ya wanafiki
 
Hehee..haloooo!!!
Inawezekana kuwa kweli lakini hayatuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…