Kumbe Harmonize joka la kibisa! Mkewe aanika wazi kuwa hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

Kwahiyo siku hizi ukaenda hospital kupima DNA kisha ukakuta mtoto sio wako ni kipimo cha kuwa huna wezo wa kumpa mwanamke mimba? Naomba mnisaidie
Kwa hapa Tanzania Hakuna Hospital inapima DNA;

Taasisi yenye mamlaka hayo ya kupima DNA ni Ofisi ya Mkemia Mkuu kwa kutumia maabara yake iliyopo mtaa wa barabara ya Obama.

Hivyo vipimo itakuwa ni nje ya Nchi.

Na majibu ya DNA kopi wanakuwa nazo wazazi na nakala halisi anabakia nayo taasisi iliyoomba vipimo hivyo ambayo ni

1. Mwanasheria.

2. Mahakama.

3. Polisi.
 
Naimba tu:
..!!! .
...
Ukitembea peke yako watasema wee ndo mubaya !!! Kujulikana kuna Mambo!!! Lwambo wetu Francooo!..oo!!.. Bandugue,

Narobakie kurorobaee Bebiee!!eee!!
Nini hii umeandika mkuu? 😬
 
Kumbe huyu mmskonde ni mshamba hivi..!!,kwani lazima uwe na mtoto?,ili iweje? Just kujishow kwa watu kuwa nawe una mtoto? Kwa faida gani sasa?.
Ugumba sio laana,,,asione aibu sababu tu eti hana mtoto,,
 
ndiyo ujue elimu inahitajika sana , si kwa huyu mmakonde, ila kwa watanzania kwa ujumla.
 
Hivi kuna wazungu nao wana majungu kama wandengereko?

Huyo Sarah kazaliwa Rufiji au Italy, maana huo mwandiko hata Da Mange anasubili.
 
Kumbe huyu mmskonde ni mshamba hivi..!!,kwani lazima uwe na mtoto?,ili iweje? Just kujishow kwa watu kuwa nawe una mtoto? Kwa faida gani sasa?.
Ugumba sio laana,,,asione aibu sababu tu eti hana mtoto,,
Aise bora ukose kila kitu lakini siyo mtoto. Hujui tu ladha ya kuwa na kid ..assume baba na mamako wasingekutana leo usingekuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…