Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

Sisi bongo media zetu ndio hua zinakuza mambo, hata wakenya wapo vizuri kwenye issue zingne kama mambo ya tenknolojia lakin changamoto yao ni wabaguzi sana yaan wanapendana wao kwa wao tu.
 
We kila mtanzania ameshakugundua mbwa koko achana na nchi yetu, Tanzania is a great nation haina wapumbavu km ww. Halafu kubali yaishe acha ubishi.
Rudi juu uone, wapo watanzania wenye akili SIO kama wewe nyumbu
 
Sisi bongo media zetu ndio hua zinakuza mambo, hata wakenya wapo vizuri kwenye issue zingne kama mambo ya tenknolojia lakin changamoto yao ni wabaguzi sana yaan wanapendana wao kwa wao tu.
Huo NI ukwel, MTU ulisema wakenya wapo vizuri unaitwa mkenya
 
Nilichogundua Kenya viongozi wao washakua waoga wanajua wakiboronga WANANCHI hawakawii kuvamia ikulu
Hamna kitu wala wasikutishe hao, nenda Nairobi ujionee.

Pamoja na mashida yetu ya ufisadi n.k bado Tanzania ni best kulinganisha na hao wa Kenya.

Watembelee ukae huko kidogo uone vijana wanavyoshindia mayai ya kuchemsha.

Tz fursa bado tunazo, ukipambana fedha ipo, hata mali kama ardhi na nyumba unamiliki tena km kadhaa tu kutoka jiji kuu la biashara.
 
Kenya ni watu kweli kweli kwenye soka sema akili zao tu ndo kipengele
 
Mimi nakwambia kuhusu viwanja vya mpira wewe unaniambia mambo ya kushindia mayai, ñaona lugha gongana hapa ngoja nipige kimya
 
We kila mtanzania ameshakugundua mbwa koko achana na nchi yetu, Tanzania is a great nation haina wapumbavu km ww. Halafu kubali yaishe acha ubishi.
We ni taira bora ukae kimya unatuchanganya wenye nnchi
 
Mimi nakwambia kuhusu viwanja vya mpira wewe unaniambia mambo ya kushindia mayai, ñaona lugha gongana hapa ngoja nipige kimya
Kumradhi. Nimereply hapo uliposema Kenya viongozi wanafanya vizuri sababu wanaogopa wananchi kuingia ikulu ndo nikatoa maoni yangu kuwa bado hao viongozi hawafanyi vizuri kihivyo maana hata raia wao wengi tu ni njaa sisi tuna unafuu.
 
Sio kweli mkuu sie wetu ndio upo vizuri Kila kitu kuliko pale kasarani sie tunabeba mashabiki elfu 60 wao elfu 40 sie tunashika nafasi ya pili kuwa na kiwanja kizuri chenye viwango vizuri mno cha kwanza kipo Kinshasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…