Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

Na hili ndio dawa,haya yote ni katiba ikisimama,sasa ww nchi ina katiba ya mwaka 1961,leo karne ya 21 bado wanangangania hiyo hiyo,,kwa kifupi watanzania sisi ni wapumbavu mno,nikiwemo na mm
Manyumbu
 
Kwa wewe neno ukubwa umechukulia idadi ya mashabiki pekee uwanja unaoweza kubeba?

Hujawaza vitu vingine kama hadhi, eneo la mraba n.k?

By the way Moi Kasarani inabeba watu 55,000 na Mkapa watu 60,000...

Hizo figure ulizoweka wewe sio official...
 
Ni official. Wew ndo utafute taarifa sahii.

Tazama orodha ya caf standard stadium iliyotolewa Jana TU.
Kenya Wana uwanja mmoja TU approved na caf. Ni nyayo pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…