pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kwa hivyo E.A.Airways ilibuniwa mwaka wa 1967, na kabla ya kuwepo kwa muungano wa jamhuri ya Tanzania hakukuwa na nchi mbili tofauti za Tanganyika na Zanzibar? Dah! Unataka nikufunze kuhusu historia ya nchi yako pia? [emoji15]Nia yangu ilikuwa nataka kukuonyesha kuwa kama zilikuwa nchi 3 kwenye hizo share za E.A.A Tanganyika 9% na Zanzibar 0.7% Kenya 67... % na Uganda 22....%zimetoka wapi? Huoni ukiiweka Zanzibar muungano unakuwa na nchi nne? Kwa hiyo namsupport mdau mmoja humu ambaye alisema huo muungano na hizo share zilikuwepo wakati ule wa ukoloni na si mwaka 1967. Umenipata nyang’au