Kumbe Kenya pamoja na kujidai koote na shirika lao la ndege walidhulumu ndege za EAC

Kumbe Kenya pamoja na kujidai koote na shirika lao la ndege walidhulumu ndege za EAC

Nia yangu ilikuwa nataka kukuonyesha kuwa kama zilikuwa nchi 3 kwenye hizo share za E.A.A Tanganyika 9% na Zanzibar 0.7% Kenya 67... % na Uganda 22....%zimetoka wapi? Huoni ukiiweka Zanzibar muungano unakuwa na nchi nne? Kwa hiyo namsupport mdau mmoja humu ambaye alisema huo muungano na hizo share zilikuwepo wakati ule wa ukoloni na si mwaka 1967. Umenipata nyang’au
Kwa hivyo E.A.Airways ilibuniwa mwaka wa 1967, na kabla ya kuwepo kwa muungano wa jamhuri ya Tanzania hakukuwa na nchi mbili tofauti za Tanganyika na Zanzibar? Dah! Unataka nikufunze kuhusu historia ya nchi yako pia? [emoji15]
 
Sasa kama EAC ilibuniwa 1967, utasemaje nchi zilizoinda EAC in 1967 ni Tanganyika na Zanzibar wakati hazikuwepo in 1967?
 
East Africa _____? Hili swali lako sio la kizushi, ni la kipumba kupindukia. Utaulizaje Afrika Mashariki ilikuwa ni baina ya nchi ngapi? Jibu sahihi ni nchi zote ambazo zipo mashariki mwa Afrika. Kama ilivyo kwa Afrika magharibi na Afrika kaskazini pia n.k, n.k.
Hata Somalia, Ethiopia, Comoros, pia zipo mashariki mwa Africa.
 
Sasa kama EAC ilibuniwa 1967, utasemaje nchi zilizoinda EAC in 1967 ni Tanganyika na Zanzibar wakati hazikuwepo in 1967?
Ni wapi nilipotaja lolote kuhusu nchi zilizounda E.A.C 1967 isipokuwa nilipojibu swali la mwenzako? Niliongea kuhusu umiliki wa E.A.A, East African Airways
nilipotaja Tanganyika na Zanzibar. Acheni ujuha, hamjui kusoma?
 
thanks for the history of eaa. but up the time when the eaa collapsed, no any evidence of ownership!!
Umeitisha source, nikakuekea. History yote ya umiliki wa E.A.A ipo hapo. Zaidi ya hapo sina la ziada wala muda wa kukutafsiria kila sentensi.
 
Ni wapi nilipotaja lolote kuhusu nchi zilizounda E.A.C 1967 isipokuwa nilipojibu swali la mwenzako? Niliongea kuhusu umiliki wa E.A.A, East African Airways
nilipotaja Tanganyika na Zanzibar. Acheni ujuha, hamjui kusoma?
Ndio sababu nikasema, ninyi wakenya hamna akili, itasemaje Kenya ilichangia zaidi katika uanzishwaji wa EA airways mwaka 1945 wakati hiyo EA airways ya mwaka 1945 hatukuiunda sisi hapa Afrika, waliounda ni waingereza kwa nia ya kututawala, kipindi hicho ninyi wakenya mlikua mnapigana na waingereza mkipinga uongozi wao, vipi Leo kitu ambacho hakikuwa na ridhaa yetu wote unatumia kuonyesha Kenya ilibebeshwa mzigo?. Tafadhali zungumzia EAC ya mwaka 1967 ambayo tulikubaliana wote kwa ridhaa yetu, acha kuzungumzia mambo ya wakoloni.
 
Kujadili na watu ambao hawajielewi lakini wanajiona wajuaji ni kibarua kigumu kupindukia. Dah! Kama hawa ndio great thinkers basi elimu ya Tz itakuwa ni ya ajabu sanaa.
 
Nimensikia Rais wangu akisema baada ya EAC kuvunjika Kenya ilitoa order ya ndege zote zipack pale Kenya. Tuliambulia ndege 1. Ebwana Wakenya pamoja na kujidai kote walidhulumu ndege za tz, ug bila hata shukrani. Hawa jamaa ni hatari
Alichofanya Rais ni kumzawadia na kumtambua rubani aliyeamua kukimbia na ndege ya EAA wakati wa vurugu za kuvunjika jumuiya. Mali zoote za Jumuiya baadae zilikuja kutathminia na kugaiwa kwa nchi zote tatu za jumuiya. Zoezi lilisimamiwa na mwingereza aliyeitwa Dr Victor. Wafanyakazi wote wa jumuiya walilipwa kiinua mgongo/stahiki zao chini ya udhamini wa Serikali ya UK.
Wazee wa EAC wao walilipwa mafao yao baada ya kulala pale Salender Bridge.
 
Kujadili na watu ambao hawajielewi lakini wanajiona wajuaji ni kibarua kigumu kupindukia. Dah! Kama hawa ndio great thinkers basi elimu ya Tz itakuwa ni ya ajabu sanaa.
Ujuaji wenu ndio sababu rushwa, ukabila na kuchukiana na kuuana every election hakuishi, akili zenu ni ndogo sana kuweza kusuluhisha matatizo yenu ya ndani.
 
Wewe ni mfano HALISI wa aina ya Watanzania niliowaongelea hapa. Umeshindwa japo ku-google tu ili uone kama kulifanyika mgao wa madeni na mali kwa nchi husika lakini bado unaandika ulichokiandika!
Ina maana Tanzania ililipia majengo yote ya HQ pale Arusha?, basi Tanzania ni tajiri sana, kwasababu yale majengo thamani yake ni Mara tano ya ndege zote zilizokuwa za EAC.
 
Kujadili na watu ambao hawajielewi lakini wanajiona wajuaji ni kibarua kigumu kupindukia. Dah! Kama hawa ndio great thinkers basi elimu ya Tz itakuwa ni ya ajabu sanaa.

Vice versa is true. Ndio maana kila kukicha mnasign mikataba bila hata kuisoma, akili za panya ninyi
 
Umeitisha source, nikakuekea. History yote ya umiliki wa E.A.A ipo hapo. Zaidi ya hapo sina la ziada wala muda wa kukutafsiria kila sentensi.

Teh teh teh tihiii
povu huwa halijengi.
twende taratibu. unajua nini kuhusu umiliki wa eaa wakati wa anguko la eac one?
 
Ina maana Tanzania ililipia majengo yote ya HQ pale Arusha?, basi Tanzania ni tajiri sana, kwasababu yale majengo thamani yake ni Mara tano ya ndege zote zilizokuwa za EAC.

Samahani kidogo; una uelewa japo kidogo kuhusu liquidation na bankruptcy procedures?
 
Nimensikia Rais wangu akisema baada ya EAC kuvunjika Kenya ilitoa order ya ndege zote zipack pale Kenya. Tuliambulia ndege 1. Ebwana Wakenya pamoja na kujidai kote walidhulumu ndege za tz, ug bila hata shukrani. Hawa jamaa ni hatari
Unawafahamu Wakikuyu wewe au unawasikia tu kupitia RTD (Radio Tanzania Dar)
 
Kujadili na watu ambao hawajielewi lakini wanajiona wajuaji ni kibarua kigumu kupindukia. Dah! Kama hawa ndio great thinkers basi elimu ya Tz itakuwa ni ya ajabu sanaa.
Mtu aliyesoma kugawa vyanzo vyake vikubwa vya mapato ili apate mkopo hashindwi kugawa mata*o ili apate msaada.
Elimu yenu inawatumbukiza jehanam amkeni.
 
Sina kabisa, Tafadhali nieleweshe

Entity ikifungwa (ikawa sio going concern tena) mali na madeni yake hufanyiwa tathmini na 3rd party. Baada ya hapo mgawanyo hufanyika kulinga na hisa. Ndicho kilichofanyika kwa EAC na kwa mantiki hiyo Kenya haikudhulumu wala kudhulumiwa. Same kwa Tanzania na Uganda.
 
Back
Top Bottom