Kumbe kipaumbele ni kwenda kwa PK na Msafara wa Mabasi 800 na siyo Kujipanga Kumfunga Mwarabu?

Kumbe kipaumbele ni kwenda kwa PK na Msafara wa Mabasi 800 na siyo Kujipanga Kumfunga Mwarabu?

Niliwashauri hapa laki mbili nauli tu ya kwenda Zambia ni wizi wa mchana hamkunielewa, haya tueleze mabasi ya Simba kwenda Zambia mpaka sasa hali ikoje?
Simba hakuweka kipaombele Hilo suala la mashabiki ndo maana wakaweka mabasi mawili,walipoona yamejaa basi inatosha
 
Kuna vitu vya msingi nahitaji kujua kutoka kwako,

1.Umri wako sahihi

2.Elimu yako.

3.Kazi yako.

Hivi vitu vitatu hutoa taswira ya mtu alivyo.ujobless, utimamu na busara

Maandishi/uandishi wako usiozingatia staha ,wenye majivuno na overconfidence,siyo bure lazima umeme wako haujatimia.
Kwa kutumia common sense tu utagundua huyu jamaa hana kazi inawezekana ni mama wa nyumbani tu
 
Anzisha Uzi wa kiingereza uni tag tuone nani anajua nani hajui.
Ili Umkodi Mtu anayejua Kiingereza ambacho hukijui na awe anajibizana na Wordsmith Mimi GENTAMYCINE?

Pimbi kweli kweli Wewe. Hujui Kiingereza.
 
Back
Top Bottom