Kumbe kumwaga chini mbegu ya uzazi, ni kosa kubwa sawa na kuua!

Yaani rafiki yangu siku mbili hizi za watoto kufanya mtihani, umepata muda wa kupitia bible ili uje na ushahidi wa jambo la kumwagia nje au ndani

Safi umeutumia muda vyema hongera sana.[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee. Mungu alikuwa hapendi ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…