Kumbe kumwaga chini mbegu ya uzazi, ni kosa kubwa sawa na kuua!

Sio kosa kumwaga chini ila hakufuata maelekezo yeye kaambiwa akalale na mwanamke wa marehemu ili azae nae, kaenda kaenda kulala nae ila akamwagia nje Mungu aka-mmada😁😁😁
 
Kabisa,usipompa game siku 2 tu tayari mume kashtaki Kwa balozi nyumba kumi
Hiyo shida yote ya nini wakati huwa wanafata nyingine kiulaini kabisa .. wanaume wa kushtaki walijifia zao WWI 😂😂😂
 
Sio kosa kumwaga chini ila hakufuata maelekezo yeye kaambiwa akalale na mwanamke wa marehemu ili azae nae, kaenda kaenda kulala nae ila akamwagia nje Mungu aka-mmada😁😁😁
Sawa,jiteteeni tu
 
Sio kweli.
Soma tena, hao walimwaga chini kwa hila ili kutomzalia ndugu yao mrithi jambo ambalo lilimchukiza Mungu
 
Sio kweli.
Soma tena, hao walimwaga chini kwa hila ili kutomzalia ndugu yao mrithi jambo ambalo lilimchukiza Mungu
Yaan iwe Hila isiwe hila...ukitema tu uji unacho😜
 
Kuelewa ni kitu muhimu, aliadhibiwa kwa kukiuka maagizo, sio kumwaga mbegu chini.
 
Huyo jamaa alikaidi kitendo Cha kutokusababisha ujauzito Kwa huyo Mke wa ndugu yake, alikaidi maagizo.

Kama kosa lake ingekua kumwaga mbegu nje, zile siku zote mnakutana kimwili kama hazisababishi ujauzito ingekua ni dhambi vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…