Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo shida yote ya nini wakati huwa wanafata nyingine kiulaini kabisa .. wanaume wa kushtaki walijifia zao WWI 😂😂😂Kabisa,usipompa game siku 2 tu tayari mume kashtaki Kwa balozi nyumba kumi
Sio kweli.Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi:
6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari.
7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.
8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”
9. Lakini Onani alijua kwamba hao watoto wasingekuwa wake. Kwa hiyo, alipolala na mke wa nduguye, alimwaga chini mbegu ya uzazi, asije akampatia nduguye watoto.
10. Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.
😳Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?🤦
Wachana nao..Wanahatari hao balaa
Ona sasa😂😂😂😜🤸🤸🤸
Tena wakimulika huu upande wetu ndo wanaweza kuzimia kabisa.. ni vile tu hatupo wazi kama wao🤣Hizi mambo za self-service ni kwikwiii😉
Kwakweli hapo ni mtihani, Kuna jamaa tumejipatia wake familia Moja ndio akaniambia wao hawatumii kabisa uzazi wa mpango, kwamba ni dhambi.Ni dhambi hata uzazi wa mpango ni dhambi vile vile
Kwahiyo wanafanyaje kupanga familiaKwakweli hapo ni mtihani, Kuna jamaa tumejipatia wake familia Moja ndio akaniambia wao hawatumii kabisa uzazi wa mpango, kwamba ni dhambi.