Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

Acha fix wewe..nimeoa nikiwa 25 years niko mjini tena msomi halaf nilikua bado najitafuta..nina mwaka wa 10 huu kwenye ndoa
 
Mkuu hapa naona una hoja nzito nzito Sana unatakiwa kusikilizwa kwa umakini sana
 
Kama unapendana na huyo mtu sioni shida ni nn! Mbona ni rahisi tu kwani ukimshirikiaha kwenye vitu vinavyohusu maendeleo ya familia yenu utapungukiwa na nn mkuu?
 
Komaa wewe acha kulialia, jikaze..
 
Mkiambiwa ndoa sio kunyanduana tu muelewe.. ndio mana inatakiwa uoe rafk ako yan mke au mume ndan ya ndoa awe rafk yako mana kuna muda akili haiitaj mke wala mume lakn...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umenikosha sana na kiukwel wewe umeongea ukwel ambao % ndio mambo yunafanya tulio wengi..hapo kwenye kukopa hapo umenichekesha sana mkuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…