Kumbe kuoa ni kugumu hivi? Aisee mniombee niko hoi bin taabani

Ukitaka kuoa hakikisha utoto na ujana umemaliza. Uwe tayari kuwa kichwa cha familia.
 

Mimi niliishi na wa kwangu mwaka mmoja ndio tukafunga ndoa lakini vituko vilianza baada ya miaka 2 ya ndoa. Ni kuomba kupata mwenza sahihi la sivyo hakuna rangi utaacha kuiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…