Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

Kama baba Yako ni huyo wa kwenye picha hawezi kukwambia uoe namana wamezoea alama za kuzuia mvua kama ni huyo lakin
 
where we came from, it's not usual, for a guy to boast that he is an umaginable bastard
 
Sawa
 
Kwahiyo unaona raha mama yako kuwa single mother, sasa ukipata mwanamke si utamnyanyasa mpaka akome ? Kizazi cha tumbili
 
Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
Sahihi Kbsa mkuu
 
Usithubutu kuoa Kama huna uwezo wa kutunza familia.
Utateseka bure
 
Huyu kwenye picha ndo baba au picha haina uhusiano?
 
Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
Kaka mbona unatukimbia tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…