Kumbe Majini sio viumbe vya kuogopa, yana vibrate at low frequency kuliko sisi

Ntacheza na frequency tu,step up my game 😎
 
Unaposema low and high frequency Kuna watu humu hawaelewi,, by the way Ili Uweze kuwa high frequency ni ufanyaje fanyaje endapo ata mtu akitaka Kuku dhuru ishindikane kama ulivo tangulia kusema
Ingia youtube andika ushuhuda wa mchungaji Aminiel Katekela anzia hapo nndo utapata mwanzo mzuri wakujua mambo ya frequency yeye anaita lcd za haki na mengine mengi ya kiroho (alikuwa mchawi mkubwa akaokolewa na Yesu)
 
Coment bora ya mada hii, upendo ukiwa msingi wa maisha yako, ndo utajua vile binadam anauwezo mkubwa wa kufanya miujiza.
 
Uongo huu
 
Kama ni mkristo kuna namna ya ku-chant mantra zinazoihusu DAMU YA YESU na baadhi ya ARCHANGELS ni njia rahisi za kukuweka frequency za juu ukifanya kwa usahihi....
Ingia youtube andika ushuhuda wa mchungaji Aminiel Katekela anzia hapo nndo utapata mwanzo mzuri wakujua mambo ya frequency yeye anaita lcd za haki na mengine mengi ya kiroho (alikuwa mchawi mkubwa akaokolewa na Yes
 
Upo sahihi kabisa mkuu. Tunachokiogopa sio nguvu zao ila ni ule upumbavu wao ambao unasababishwa na udogo wao. Ni sawa wewe huwezi kumuacha mtoto wako wa kiume alale na mtu usiemfahamu. Sio kwa sababu unamuogopa huyo mtu ila unajua mtu huyo anaweza kufanya ujinga.

Hatuwaogopi mateja ila tunahofu kwamba kwa sababu wana vibrate in Low frequency tunajiepusha nao
 
em futa uandike tena...
 
Sina uhakika saana kama majini yana vibrate katika low frequency kuliko binadamu.

Ila uko sahihi kua binadamu tuna uwezo mkubwa/kama Mungu like father like son.

Ukijua kwanini amri kuu ni upendo pia ukibaini kwanini uliambiwa usamee saba mara sabini, ni ili kua positive na kuvunja negative energy zote. Hakika utakua salama.

Kumbe ukiwa na hekima utakundua kitabu cha biblia ni moja ya vitabu adimu, ni hazina (kwani kina code muhimu kama ukizijua unakua hauna haja ya kuhangaika kusoma maelfu ya vitabu).

Mfano ukisoma vitabu vya injili. Unakua ume-master masuala yote ya spiritual awakening, consciousnesss enlightenment, higher dimension, manifestation etc. Terminology kibao ila kitu ni kile kile.
Kikubwa ni Kuwa positive na kujiAMINI

Kua positive ni sawa sawa na kua mtakatifu (kuto kutendaa dhambi).

Mja ya watu waliokua katika viwango vya juu vya kiroho ni YESU alikua na mind yenye positivity ya hali ya juu kiasi kwamba ukimkosea haumii kabisa badala yake anakusikitikia wewe naamu yaani anakuonea huruma maana anakuona unavibrate katika frequency ya chini mno. Mtu mwenye dhambi au mwenye negativity nyingi katika mind yake... Anakua ana vibrate katika low frequency tukisema tu sketch graph itasoma negative.

Note.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…