Kama unaamini Kuna Uchawi Kwa maana ya Negative energy, basi pia ipo na Positive energy maana ya Nguvu za Mungu....!
Hasira, Huzuni kupita Kiasi, Hofu, vinafanya hata ulinzi wa Kimungu ukae pembeni, na hapo ndo Watu wanaweza kushambuliwa ama na Evil spirits, Wachawi n.k.
Ni sawa tu na kutenda Dhambi kama Uzinifu na Dhambi zingine, zinaondoa ule Ulinzi wa Mungu kwako na Unaweza kushambuliwa Vizuri Sana katika Ulimwengu wa Roho...!
Ndo Biblia imekataza Watu kuommboleza kupita Kiasi, japo Lugha inayotumika ni kwamba "Usilie Sana... Unamkufuru Mungu" n.k.
Biblia pia imekataza Watu kujizuia na Hasira kupita Kiasi...! Hata Kwa Wachungaji wenye Upako wao siku wakashindwa kujizuia na Hasira hafu the.n ikawa Jumapili siku ya Ibada, Upako wote unaondoka...!
That's why Most of Pastors wapo humble.
Binadamu ana njia nyingi Sana ambazo Wachawi na Majini wanaweza kuingia kumshambulia, na Maisha ni Spirit, na kila Shambulio kwa Binadamu linaanzia kwenye Ulimwengu wa Roho, then ndo linakuja kujitokeza kwenye Ulimwengu huu wetu.