Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

Kwa mujibu wa taratibu za kikristo ni makosa
Hayo ni mapendekezo ya waasisi wa imani hiyo ila hawana andiko/maandiko yanayosema kuoa mke zaidi ya mmoja ni dhambi.

Hawa watu wa Mungu akina Abrahamu, Yakobo, Gidioni, Daudi, Suleimani, Elikana na Rehoboamu walikuwa na wake wengi.

Mungu ni yuleyule jana, leo na hata milele.
 

Maisha binafsi si kila mtu ana yake? Au?
 
Nimuonee wivu kwa lipi sana sana namshangaa mkristu mwezangu huyu hii si sawa
Ni fungu gani katika biblia linakataza mkristo wa kiume kuwa na wake Zaidi ya Mmoja? Aliyekatazwa katika ukristo kuoa mke zaidi ya Mmoja ni Askofu peke yake kutokana na majukumu yake,naona hapa wazungu walisahau kupaedit wakati wanaandaa biblia yao ya mchongo.

1 Tim 3:2-3

Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole

Njoo na wewe na fungu lako lenye kuzuia mkristo wa kiume kuwa na mke zaidi ya Mmoja
 
Kwa taratibu za kikanisa mke ni mmoja tu mke wake wa kanisnai ni huyo stela,huyu dr mganga walikuwa wanazini

Kutoka 20:14: "Usizini." Ukifanya hivyo, unavunja ahadi uliyotoa mbele ya Mungu kuwa mwaminifu kwa mwenzi wako wa ndoa.
Naomba taratibu za kibiblia siyo za kikanisa zinazosema kuwa na wake wengi ni dhambi
 
Kifupi
Kama alioana name kanisan na ushahidi anao Ana kamzigo kake ka urithi

2.kama huyu wa Sasa alioana nae...sijajua how
Nakama Wana mtoto
1.kama ahajamwandikia urithi mapemaaa
Watoto wake wa pili
Kazini kunakazii na watahitaji kujieleza vilivyo

Mengine tuyaachie mahakamaa...maana nimeyaona mahakamani ya watoto wa nje aisee nataman wawe waanandikiwa mapema sana mzigoowaoo
 
Kuna mtangazaji alikuwa anamuuliza binti wa Ndugai "Baba yako ana miji mingapi?" Yule binti akawa anafunguka kwamba ana nyumba ya shamba pia.

Nikawa najiuliza what is the point of this question?

Kumbe mtu alikuwa anachimba?
 

Attachments

  • Screenshot_20250807-214813.png
    184.5 KB · Views: 28
  • Screenshot_20250807-214829.png
    173.7 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…