Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

Imekuwa ghafla sana...mu msamehe
 
Safi sana niko upande wa Stella
 
Hamna tatizo hapo, his wives, he's life.
Tatizo siasa zao, za ubabe, kutesa, kujilimbikizia mali, ulevi wa madaraka, ufisadi, ubinafsi, ulafi, uroho, wizi, KUUWA...
 
Mwanaume mzima unashangaa Mwanaume mwingine kuwa na wake wawili tu? Hata wangekuwa 10 kwani alikuomba umsaidie kununulia watoto unga wa ugali?🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…