Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Nike ilishakubali maovu yake yote na ikachukua hatua kubadilisha hayo. Jikite kuwataka wakina Mo na wenzake wengine wa Tanzania wakubali na kuchukua hatua kubadilisha huu utumwa wa kisasa.
Nani amekwambia Nike wamebadilisha ? Sweatshops ndio mpango mzima mpaka leo huko India.., na ulishajiuliza kwanini hizo Kampuni hazifanyi kazi zake USA na ku-outsource third world countries ? Unajua impact ya hilo shati la Nike unalovaa leo kuanzia kwenye mazingira mpaka mkulima wa pamba kutoil na mnyororo mzima ulivyo ?

Wewe unasema nijikite kwa kina Mo mimi nakwambia hio ndio nature of the Beast profit at all costs na kila senti unayoweza kuisave (take care of the pennies) mwisho wa siku you do not have to care for the pounds..., na hapo kumbuka kuna mnyororo mrefu huenda pesa anayotoa Bosi inakatwa na mirija kila kona (madalali na wanyampara) mwisho wa siku mdau wa mwisho anaambulia kitu ambacho hakitoshelezi maisha yake ya kila siku...

Don't get me wrong sisemi this is how it should be.., bali nakwambia this is how it is, and it will continue to be; kama kuna watu wanaweza kupokea hata buku 3 usitegemee mtu ataacha kulipa nne alipe kumi (unless ulipaji wake utamjenga katika public relations) Na badala ya kulalamikia kina Mo ambao hatuwasaidii kulipa mikopo Benki wala kutafuta masoko na kupambana na kina Jambo... tuwashambulie wale ambao wanatukamua...

 
Upo sahihi kuna jamaa wanakua kati kati ya hizo kazi wale wanakata pesa kiasi so wana punguza malipo ya wasaka tonge
 
Ut
Ukisoma kitabu "rich dad poor dad" utaishia kumkubali Mo, otherwise upitie njia zake nawe uwe na projects zako kama njia ya kujikwamua kiuchumi na si kuajiliwa.
ataweka akiba kiasi gani kwa malipo ya 4,000 kwa siku upate mtaji tu wa kuuza maji au mkaa, hata maaandazi. Ni utumwa, udhalilishaji na unyanyasaji.
 
dah kweli aisee

Mo na Tz ni kama Coke na Mexico, Apple na Congo, Zara na China nk nk

umetoa hoja
 
Ndo tatizo la mwafrika sasa, kama ww hajui kabisa kupigania haki kubepaliwa, tu ndo chanzo ya kuwa maskini, sana huku, kule ulaya walipigania haki, ya muda w kufanya kazi na mishahara, viwandani na kwenye makapuni. "Tuwe na maisha ya kuamua sisi kutegemea, kulingana na matumizi na kipato.
 
Huu ni utumwa ambao vizazi vijavyo vitausoma kwenye historia.
 


Upo sahihi kuna jamaa wanakua kati kati ya hizo kazi wale wanakata pesa kiasi so wana punguza malipo ya wasaka tonge
Udalali udalali udalali....

Maisha ni VITA ngumu sana.....
 
4000 per day usomeshe watoto? We haupo serious!
 
Hiyo sio ajira bali uma namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…