Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Likes 86 naomba Mungu watoto wenu wakalipwe hivi
 
Mitazamo ya hatari sana hii, hiyo unskilled unayoidharau hujui kuwa inahitajika pia? Kiwanda hakiendi kwa kila mtu kuwa offisini, wewe chai ya alfu 4000 inakutosha??? Kwanini Huna huruma bro? Wanatakiwa wawalipe kwa saa na kima cha chini isipungue 3000 ni dollar moja hiyo tu.
 
Kama kila mtu ataka kuishi Dar akiamini ndiko rahisi kutoboa kimaisha,haya ndiyo matokeo yake.Mabwanyenye wachache,makabwela wengi.Hii ni kinyume na mikoani
 
Muhindi bana huyo sio mtanzania! hana huruma hata kidogo! ndio maana walimuacha na kanga kiunono usku
 
Sanaa anatesa watuuu huyo nyie hamjui tuu
 
Be

Hii ni tofauti dada wa kazi ni kama member wa familia coz anakula, anavaa, anaishi hapo hapo nyumbani(halipi kodi) akiumwa unamtibia...hii ni tofauti na kulipwa 4000 halafu kila kitu unajitegemea.
Okay umenena vyema una viwanda vingapi mkuu??
 
Be

Hii ni tofauti dada wa kazi ni kama member wa familia coz anakula, anavaa, anaishi hapo hapo nyumbani(halipi kodi) akiumwa unamtibia...hii ni tofauti na kulipwa 4000 halafu kila kitu unajitegemea.
Labda niulize. Hivi mtu huajiriwa kisha kulipwa kulingana na mahitaji yake?
 
Na wewe unaingia chaka kwa uzushi wa mleta uzi?Umeeewa sababu kuu ya kuanzisha uzi wake?Tulia ujifunze nia yake.
1-Huyo mleta malalamiko ni shabiki wa utopolo aka nyuma mwiko.
2-Anamchukia Mo
3-Anataka amalizie hasira zake kwenye mambo yoyote/mtu yeyote anayejihusisha na Simba SC
4-Uchungu wa kushika mkia kwenye shindano la kimataifa na Simba kuongoza ligi/kuwa na uwiano mzuri wa points na magoli vinamuumiza.
5-Walidanganyana kwamba mashindano yatakuwa mepesi kwao kumbe ni tofauti
6-Anaeleza wafanyakazi wa METL wanalipwa Tsh 4000 wakati hajui na hajawahi kufanya kazi pale.
7-Kwenye uzi huuhuu amehakikishiwa na wanaojua kwamba malipo ya METL kwa siku unaanza wastani wa 7500 na ameona.Nimemwambia akanushe hilo kwa ushahidi kashindwa.
8-Kama haitoshi na kudhihirisha chuki zake ametumia lugha mbaya na kumuita Mo majina ya kibaguzi huku hana ushahidi wa maelezo yake.
 
Kuzaliwa Afrika ni Laana.
Nimekumbuka zile Mada za Historia kule Ulaya kwenye #Industrial Revolution miaka ya 1700-1800, kukazuka Workers Movement za Wakina Edward O’ Conor.
 
Utawaweza nyuma mwiko?Wanatafuta kwa kupunguzia machungu ya kufungwa hovyo na kuburuza kundi klabu bingwa.
Kumbe unamtetea mo kisa anaifadhili simba kweli mijitu mieusi akili zero kama hili mjadala wa maana linaleta usimba na uyanga aisee we Kweli kuitwa nyani ni haki Yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…