We inabidi uendelee kubaki na mizinga, watumwa wa sehemu gani hao walikuw wanakula vizuri wanalala vizuri? Wa Brazil, Wamarekani au Uarabani? Na unaijua vizuri hiyo biashara ilivyokuwa au unahadithiwa tu! Watu walikuwa mpaka wanavalishwa helmet kichwani wasile kama adhabu? Fanya research yako upya.Watumwa walikua wanalishwa vizuri na sehemu ya kulala na mahitaji yote sana ilo wawe na nguvu Sasa huyu GABACHORI yeye anawalipa elfu 4000 na Kila kitu wanajitegemea huu ni zaidi ya utumwa
Hakuna sheria inayotamka kibarua alipwe kiasi gani kwa siku,malipo ya kazi yoyote ni makubaliano baina ya mtoa kazi na muhitaji kazi na wala hakuna kutwezana nguvu katika hilo.Jibu hoja bana acha kutetea
Ebu twambie kibarua kwa sku anatakiwa kuripwa shingp, sheria inasemaje
Inawezekana familia yake haijaajari mtu ata mmoja ila haiondoi hoja yake
Na kua muajiri mkubwa Tz sio tiket ya kuripa vibarua ujira mdogo na usioendana na sheria za ajira
Mama ntilie anachuna mabwana kibao, yaani siku nzima lazima kuna Mazezeta kawaliza balaa; ukicompare huo uchangudoa wa chini ya kapeti na kazi za viwandani
Nachosema hapo Mama Ntilie unakuta ana vyanzo vingi vya mapato ukilinganisha na anayeteseka kiwandani kwa ujira wa 4000 tshs kwa sikukwahiyo kuchukua mabawana na kufanya ukahaba ni usahihi?
wewe house girl wako unamlipa shilingi ngapi?Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani elfu nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Laki 2 na Kila kitu namuhudumia kuanzia kula kulala mavazi Hadi akiumwawewe house girl wako unamlipa shilingi ngapi?
na wewe unalipwa shilingi ngapi?Laki 2 na Kila kitu namuhudumia kuanzia kula kulala mavazi Hadi akiumwa
Nachosema hapo Mama Ntilie unakuta ana vyanzo vingi vya mapato ukilinganisha na anayeteseka kiwandani kwa ujira wa 4000 tshs kwa siku
Nchi gani hawalalamiki low wages ?Shitholes countries ,mmoja wapo ni hii ,shithole Country ambayo haina strict labour laws za kuhakikisha mazingira bora ya kazi ,haki na ujira wa kumuwezesha mtu kuishi , Tanzania watu wanafanya kazi katika mazingira mabovu hatarishi ,dhulma katika ujira na manyanyaso .
Capitalism ya third world countries aka shithole countries inaumiza sana raia wa kawaida .
Ni zaidi ya utumwa
Kwani utamu haupati?sasa yeye kuuza utu wake si kuteseka?
da!! ngoja nikanywe K-VANT!!!!,,,,,nasikia mtoa hoja anakunya kwenye choo cha shimo,MENDE KIBAO!!Mtoa hoja unaweza kukuta hata mfanyakazi wake wa ndani anamkopa huo huo mshahara wa 15,000 kwa mwezi.
Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani elfu nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Wauza ngada hawalipi kodi wanawalipa maagent wao handsomely......inawezekana nawe ni mmoja wao🤣🤣We unauza ngada
Kwanza kuna uhitaji wa ku cross check Claim za mtoa uzi maana tayar kuna watu wawili wameshapost humu kuwa kiwango hicho sio sahihi kuna mmoja kasema malipo ni 7500 unakatwa 1500 ya chakula mchanaSawa.
Lakini naona hujaelewa hoja yangu.
Soma mission statement ya "The Giving Pledge".
"The Giving Pledge is a promise by the world's wealthiest individuals and families to dedicate the majority of their wealth to charitable causes."
Mo Dewji amesaini The Giving Pledge kuwa atatoa sehemu kubwa ya hela zake kwa hiyari yake, buree, ziende kwenye charitable causes, kwa sababu anaamini katika falsafa ya kugawa sehemu kubwa ya utajiri wake kabla hajafa.
Ninashangaa inakuwaje mtu aliyetia saini "The Giving Pledge" kutoa hela zake kwa charitable causes, kwa msaada tu, anashindwa hata kuwalipa vizuri wafanyakazi waje?
Hizo hela ambazo angewalipa wafanyakazi wake kiuchumi wala hazikutakiwa kuongeza bei ya chochote, kwa sababu angeweza kuwapa bonus au mshahara ambao haujali sana market prices.
Kimsingi swali ni hili.
Kama una roho nzuri sana mpaka umeahidi kutoa dola bilioni moja kwa charitable causes mbalimbali, kwa nini usitumie dola milioni chache kati ya hizo kuwaongeza kidogo nishahara wafanyakazi wako wanaokuzalishia mali za biashara zako?
Mo Dewji kweli yuko serious kwenye hiyo giving pledge? Au anatuzuga tu?
Sio kubeza, hapa tunataka kila mtu alipwe vizuri.Ila tuache kuendeshwa na hisia kisa tu umepata baraka ya kulipwa vizuri ndo ukabeze vya wengine
Sasa waliosoma si wafanye hizo kazi!Mtu hujasoma, huma ujuzi wowote, inetegemea kazi hiyo unayofanya kazi huko Kiwandani inaweza kuzalisha faida ya 4000 kwa siku?? Unadhani kuna kazi mtu huyu anaweza kuzalisha faida ya 10K kwa siku?