The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,166
- 1,421
Atleast kawapa Watanzania option ya kuishi boss...wewe ulioni hilo sababu una kazi ya kukufanya uishi.Heri usiajiri watu kwa kuwalipa ujira wa wizi huo ni utumwa kama utumwa mwingine na wote hao wanafanya kazi kwa sababu hawana namna yaani wanatumikishwa tu.
For real?!Bora huyo..nenda hapo azam ndio utahisi kufa,elfu 2500/= per day
Najua halipi 4000 kwa siku hayo ni madai yako ...lakini watu wanaishi kwa hiyo hiyo 4000 unayoitukanaJinga wewe hamna mtu anaelisha familia na kusomesha Kwa elfu 4 dar labda awe mwizi
Ww ni nani hapo kwenye chama mkuuHuyo gabachori mwisho wake 2029 kufanya huu ujinga 2030 nikiwa ikulu anaenda kuikimbia nchi hii
Boss hilo liko wazi....fatiliaa takwimu kwa mwaka jana yeye ndio muajiri mkuu wa sekta binafsi.Bila kuingilia mada
Hivi Muheshimiwa Mo anaweza kuwa ameajiri wafanyakazi wangapi Tanzania
Najua ameajiri sana lakini sidhani kama ndiye muajiri mkuu secta binafsi labda kama una angalia kwa trickle down effect
Mfagiaji wa lumumbaWw ni nani hapo kwenye chama mkuu
Anakula kwa mama.We jamaa wewe dah.
Sijui una umri gani aisee
Laki tatu.Watu wamekimbia Jembe na ufugaji ulitaka wafanywe nini kwenye nchi Maskini?
Ikiwa mwenye Degree analipwa 1M unataka unskilled Labour alipwe ngapi?
Hatutetei,wewe umefanya nini au serikali imefanya nini ili kutoa best option??huu ujinga sio w kutetea kabisa , kwa sku usd 1.5 ??
Huku kibarua cha kupanda mpunga kuanzia saa2 hadi saa9 ni 5000-7000 kula ni kwa mwenye shamba na ni msosi wa uhakika. hapo hakuna hela itatoka kwa ajiri ya usafiri yaani unafikisha home5000 ama 7000 nzima nzima.Atleast kawapa Watanzania option ya kuishi boss...wewe ulioni hilo sababu una kazi ya kukufanya uishi.
SawaWatu wamekimbia Jembe na ufugaji ulitaka wafanywe nini kwenye nchi Maskini?
Ikiwa mwenye Degree analipwa 1M unataka unskilled Labour alipwe ngapi?
Acha ujinga basi. Nikajua una ushahidi.Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Kitendo cha mtu kutoka kwakwe na kuja kwako kwa jina kazi la kazi haijarishi ni kazi hata kama ni kuangalia movie tu hiyo hela haitoshi.Kazi ya aina gani tujue kwanza unaweza Kuta walistahili kulipwa Buku tu, Sema Mo Kwa uugwana kaweka 4000. Au kweli ananyonya tuangalie nini. Labda kufagia uwanja na kusogeza box tu.
Ila nachosikia Hawa wahindi wanatabia ya kuwa na payroll mbili, Moja ya konesha serikali wanalipa kidogo ili kukwepa Kodi, nyingine ya kutunza malipo Halisi na wafanyakazi pamoja na za rushwa za Wabongo wanaowapa deal mabali mbali.
Kuna watu nasikia wanapgishiwa nyumba, ili wanendelee kutoa michongo.
Reasoning πππV/S Feelings πππSasa unamlaumu wakati kazi yenyewe kibarua Tena ni unskilled workers!
Ukiona haitoshi tafuta pazuri ukafanye kazi, hii Dunia ni soko hulia. Hiyo unayoidharau Kuna mwingine Hana hata pa kuipata Toka asubuhi Hadi jioni.
Yeye analipa kulingana na anavyoweza, anzisha viwanda vyako uongeze ujira kwa wafanyakazi wako.
Ndo umefikiri hadi ukafikia ukomo mkuu?Watu wamekimbia Jembe na ufugaji ulitaka wafanywe nini kwenye nchi Maskini?
Ikiwa mwenye Degree analipwa 1M unataka unskilled Labour alipwe ngapi?