Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

Kila mtu akifariki hata kama anaumwa Malaria cheti cha kifo lazima kiandikwe cardiomyopathy, kutaka kufahamu mengine zaidi kama wewe siyo next of kin ni umbeya tu.
 
Cardiac arrest haina uhusiano. Malaria inaonyesha alikuwa anaendelea vizuri. So cardiac arrest inawaza mpata mtu yeyote wakati wowote. Commonly inaweza kuwa due to shambulio la moyo. Heart attack. Mara nyingi heart attack ikiwa ni major yaani ikihusisha mishipa mikubwa ya moyo haichukui round ni just seconds you die.



Usiku wa kuamkia leo nimepata Case kama hiyo. Familia imenipigia kuwa baba yao anapata shida kuwa anapata maumivu makali ya kifua na kukosa pumzi. Hakumaliza dk 5 akafa. Nimefika pale kumwangalia alikuwa ameshakufa.

Confirmations inaweza fanyika tu kwa kufanya postmortem. Lakini kwa heshima ya states person sioni kama ni muhimu sana as far hakuna kitu cha kutia shaka.


Familia iko sahihi. Cardiac arrest ni very common
Still connecting the relation of Malaria with Cardiac arrest sipati jibu? but kuna uhusiano mkubwa kati ya upumuaji na shambulio la moyo.

Jiongezeni wakubwa, Israel mtoa bado anawinda roho za watu wenye shingo ngumu.
 
Alipekwa kwa sababu ya malaria, ila baada ya kuangalia matokeo ya ubunge kupitia ccm ndio akapata mshtuko,

Kwanini walimwacha aangalie matokeo ambayo hata vijana huzimia ?
 
Urio hakutakiwa kuzungumza " kienyeji" kwenye swala la kitaalamu kama hili.

Kuwajibu watu wa mitandaoni nyakati nyingine siyo busara!

Familia haina daktari bingwa wao? Najua kiutaratibu yupo, je alichoongea huyo Erio ndio maelezo ya Dr wa Mzee wetu? Hapo mi na wewe hatujui.
 
Viongozi wtu wajifunze kuwa wakweli na wawazi. Anapofariki kiongozi wa kitaifa hivi, inabidi taifa liambiwe ukweli. Mpaka siyo wa Mama Anna na watoto wake. He was a public figure. Ni wa Watanzania wote. Wasipokuwa wawazi, uongo unachukuwa nafasi yake na kuwa ukweli. Zingekuwa ni nchi zisizokuwa na usiri usiri, Rais was sasa angetangaza kifo na sababu ya kifo hapohapo. Then kusingekuwa na nafasi ya rumours.
 
Wangeniambia kwa umri wake, mwili wake ulivyo thrombisis yaweza tokea au hata kisukari kidogo ningeeelewa ila sio severe malaria..

This is Big No...
 
Mimi huwa akili sina kabisa
1. Cardiac arrest = Story lisaa lizima inawezekanaje?
2. Malaria okay but since when diagnosed by whom and it was how much (Quantitative) and where?????
3. Mikusanayiko + Safari zisizokuwa za lazima + Mikusanyiko (mikutano) without any protection measure = Tatizo la upumuaji??????

Conclusion inaonyesha muunganiko wa haya matukio. Hapo bado wanaendelea (Epidemic of disease occurs with episodes)

Zakuambiwa changanya na zako
 
Hata malaria inafanya tumbo lisikae vizuri. Hasa kama alikuwa anatumia dawa. Mimi hii ya kusema ni corona sikubalini nayo kwa sababu ingekuwa ndiyo hiyo viongozi wasikuwa huru kuchanganyika namna hii unless wanajitafutia balaa.
Mkuu watu wa mitandaoni shida sana,hebu angalia mama magufuli alivyomkumbatia mama mkapa,na magufuli yuko pembeni,hivi ingekuwa korona kweli haya yote yangefanyika

Je madaktari wa mitandaoni ni bora kuliko tulip nao huku uraiani

Wanaosema ni korona wapuuzwe kwa kila namna
 
Covid 19 inaweza kumchukua mwamba ndani ya siku 2 tu?
Itoshe kusema shambulio la moyo ndio limemuua mhe.
 
Acha ujuaji wa kitoto....yaani Mkapa ahudumiwe na madaktari WALIOZEMBEA KUMPIMA HIVYO ULIVYOSEMA?!!!yaani wasahau VITAL SIGNS?!!
Mkapa HAWEZI kutibiwa na intern tena civilian πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwann ukimbilie DM?kwani MALARIA KALI haiwez kusabbsha mfumo wa mwili kuparanganyika na kusabbsha mshtuko wa moyo?!!!

Erio amemaliza vyema,mengine ni porojo za watoto wa intern ama MDs...
 
Love it, hate it, severe malaria inaua. Severe malaria inaweza athiri ubongo, mapafu, figo, nk. Neno ya muhimu hapo ni SEVERE. Tuache kulazimisha mambo ambayo hayapo. Tuwaamini madaktari.
Wangeniambia kwa umri wake, mwili wake ulivyo thrombisis yaweza tokea au hata kisukari kidogo ningeeelewa ila sio severe malaria..

This is Big No...
 
Ndio maana cardiac arrest kadri umri unavyosonga mbele kuna uwezekano mkubwa wa hadi asilimia 70% kupata shambulizi la moyo...

Nahisi umri na mwili umechangia kwa kiasi kikubwa..

Apumzike kwa Amani Hayati B.W. Mkapa Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…