wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Ingekuwa ni sera ya ccm wangeshaitekeleza kwenye hii miaka 60 waliyoongoza nchi.
Hivi bado watu wanadanganyika na hao CCM??...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa ni sera ya ccm wangeshaitekeleza kwenye hii miaka 60 waliyoongoza nchi.
Amecopy wapi? CCM ni wapuuzi sana! Ni wapi mgombea wenu aliwai kuongelea Sera ya bila ya afya mikutano yake yote???? Kaona Lissu kaielezea vizuri na watu wameielewa Eti leo Ccm ndo mnasema ni Sera yenu. Vilaza wakubwa lumumba nyieRais Magufuli leo akiwa mkoani Mara amezungumzia kuhusu sera ya kutoa Bima ya afya kwa watanzania wote.
Ahadi hiyo ameitoa leo kwenye kampeni zake huko musoma mjini.
Kuthibitisha kuwa sera hiyo ni yake amesoma Ilani ya ccm ya uchaguzi 2020 katika ukurasa wa 139 kipengele "e".
Amesema ahadi hii lazima itekelezwe kwa utaratibu maalumu.
Amesema wapinzani wasiwe wanaongea tu bali kabla hawajaanza kukurupukia sera wawe wanasoma Ilani ya ccm kwanza ili wasiwe wanacopy sera.
Naamini mhe. Tundu Lissu atajibu hili kisomi kabisa.
Wewe kwa akili zako ndogo unaamini Kitila Ni CCM? Wale Ni chadema damu wako huko kwa kazi maalumWasalaam
Leo Mama Samia akiwa mwembe yanga huku Jpm akiwa mara kule Kassim Majariwa akiwa Arusha....hakika CCM haina mpinzani!
Leo profesa Kitila mkumbo ameweka wazi kuwa swala la bima ya afya kwa wote ni utafiti uliofanywa na CCM chini ya wizara ya afya na liko kwenye ilani na amekwenda mbele zaidi kutaja hadi kurasa!
Amesema wazi kuwa chadema wamelidandia tuu hawana uwezo wala wataalam wa kuweza kulielezea maana ukiwasikiliza kila mtu anaona halitekelezeki na akasema ukisoma ilani ya CCM ya mwaka huu utaona limewekwa wazi kabisa swala la huduma ya afya au bima ya afya kwa wote na wameeleza kitaalam jinsi litakavyo tekelezwa!
Amesema wazi kabisa chadema ni wabobezi wa kutamka lakini kutekeleza hawana uwezo kwa kuwa ni ukweli ulio wazi hakuna jambo wanaweza kutekeleza hata ambalo wamewai kuliahidi kwa wanachama wao hakuna walio litekeleza maana wao wanachojua ni kutaja hila hawajui hata jinsi ya kupata hela hata kupanga ya kwao!
Mimi naungana na Kitila mkumbo kuwa chadema hawana uwezo wa kutekeleza hilo wala hawana mkakati wala kutekeleza hiyo bima ya afya kwa wote kama ilivyo chambuliwa kwenye ilani ya CCM!
Wasalaam
...hiyo chadema ndio CCM halafu wewe unasema yule ni chadema yuko kwa kazi maalumu... nina shaka na umri wakoWe kwa akili zako ndogo unaamini kitila Ni CCM? Wale Ni chadema damu wako huko kwa kazi maalum
Kitila hata hiyo itikadi yenu haijui, au unafikiri kuvaa manguo ya kijani ndo uccm...hiyo chadema ndo CCM halafu wewe unasema yule ni chadema yuko kwa kazi maalumu..nina shaka na umri wako
Mimi nimetoa taarifa ya kilichosemwa na Magufuli na amesema hicho kitu kipo kwenye Ilani yao ukurasa wa 139 kufungu e.Amecopy wapi??? Ccm ni wapuuzi sana! Ni wapi mgombea wenu aliwai kuongelea Sera ya bila ya afya mikutano yake yote???? Kaona Lissu kaielezea vizuri na watu wameielewa Eti leo Ccm ndo mnasema ni Sera yenu. Vilaza wakubwa lumumba nyie
Kama ni sera ya Ccm iwele NHIF waondoe dawa zaidi ya mia zilizo kuwa kwenye package ya dawa ambazo mfuko ulikuwa unalipia??..sasa kama ni sera yenu kwanini mnampinga TL?
..kwanini hamumpongezi na kumtia moyo?
Wakikujibu niambieKama ni sera ya Ccm iwele NHIF waondoe dawa zaidi ya mia zilizo kuwa kwenye package ya dawa ambazo mfuko ulikuwa unalipia??
Jpm kaona kura zina pungua wakaichomekea.