Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Mlipokuwa mnasema haiwezekani mlikuwa hamjasoma hiyo Ilani yenu?Anadi wana copy sera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlipokuwa mnasema haiwezekani mlikuwa hamjasoma hiyo Ilani yenu?Anadi wana copy sera.
Ha ha we jamaa nikisoma post zako hua naishia kucheka tu. Wewe ni bendera fuata upepo, unashabikia ccm hata ilani huijui unasubiri jiwe aropoke kisha uliunge juu kwa juu. Headless chicken, mwaka huu kazi mnayo sio mchezo bwaa shee!!Mkuu, tl alikuwa hajajiandaa kwa level ya uraisi, ndo maana anaunga unga hoja, zingine ndo hizo kaiba ccm
Unaandika wakati instinct yako haikwambii hivyo, unaugulia ndani kwa ndani poleni sana wana mboga mbogaKadili kampeni za CCM zinavyozidi kupambama moto, Lissu anakosa sifa za kuwa Rais na wananchi wanamdharau.
Yanatoka moyoni hayo? Basi mnatia huruma, mmekuwa la kila wakati kujitetea/kujieleza.Wangewekaje bima ya afya miaka ya nyuma kama serikali haina hospital zake na vituo vya afya vya kutosha?? Ndo maana tunataka maendeleo ya vitu kwanza kisha ya watu baade.loe serikali ikiwa na miundo mbinu yake ya kutosha ni
Vyepesi kutoa huduma muhimu kwa wananchi wake kwa ghaama nafuu.
Sera za midege na madaraja ya Dar zimepwaya kisawasawa na badoHa ha we jamaa nikisoma post zako hua naishia kucheka tu. Wewe ni bendera fuata upepo, unashabikia ccm hata ilani huijui unasubiri jiwe aropoke kisha uliunge juu kwa juu. Headless chicken, mwaka huu kazi mnayo sio mchezo bwaa shee!!
Hali ni mbaya sana, huwa nacheka sana nikimsikia Lissu the great anavyobomoa nyumba. TL ana msemo wake anakwambia hizi ndege na madaraja tunayoringishiwa kila siku ha haSera za midege na madaraja ya Dar zimepwaya kisawasawa na bado
Watapata tabu sanaHivi CCM hamuwezi pitisha hata dakika moja bila kumtaja Lissu? Leo Mwenyekiti wenu huko hotuba yote kaitumia kumjibu Lissu
Si ndo maana ikaitwa siasa.Yanatoka moyoni hayo? Basi mnatia huruma, mmekuwa la kila wakati kujitetea/kujieleza.
Profesa Kitila hajui kitu kama wenzake wa jalalani, wanalinda matumbo yao kwa mapambio muda wote.Wasalaam
Leo Mama Samia akiwa Mwembe Yanga huku JPM akiwa Mara kule Kassim Majariwa akiwa Arusha....hakika CCM haina mpinzani!
Leo profesa Kitila Mkumbo ameweka wazi kuwa suala la bima ya afya kwa wote ni utafiti uliofanywa na CCM chini ya Wizara ya Afya na liko kwenye ilani na amekwenda mbele zaidi kutaja hadi kurasa!
Amesema wazi kuwa CHADEMA wamelidandia tu hawana uwezo wala wataalam wa kuweza kulielezea maana ukiwasikiliza kila mtu anaona halitekelezeki na akasema ukisoma Ilani ya CCM ya mwaka huu utaona limewekwa wazi kabisa suala la huduma ya afya au bima ya afya kwa wote na wameeleza kitaalam jinsi litakavyo tekelezwa!
Amesema wazi kabisa chadema ni wabobezi wa kutamka lakini kutekeleza hawana uwezo kwa kuwa ni ukweli ulio wazi hakuna jambo wanaweza kutekeleza hata ambalo wamewai kuliahidi kwa wanachama wao hakuna walio litekeleza maana wao wanachojua ni kutaja hila hawajui hata jinsi ya kupata hela hata kupanga ya kwao!
Mimi naungana na Kitila mkumbo kuwa CHADEMA hawana uwezo wa kutekeleza hilo wala hawana mkakati wala kutekeleza hiyo bima ya afya kwa wote kama ilivyo chambuliwa kwenye ilani ya CCM!
Wasalaam
Katika post zangu zote zitatimia kwenye uchaguzi huu, na zingine tayari mkuu. Ni baadhi ya watu wachache waonao mbali. Katika mwaka ambao chadema mmeharibu kupita maelezo, basi utakuwa ni huu uchaguzi, kuwa involved na foreign entities, mmejichafua sana mkuu. Utaona kwenye sanduku na baada ya sanduku. Watu wamekanywa ndo maana ameachwa abwabwanje tu.Ha ha we jamaa nikisoma post zako hua naishia kucheka tu. Wewe ni bendera fuata upepo, unashabikia ccm hata ilani huijui unasubiri jiwe aropoke kisha uliunge juu kwa juu. Headless chicken, mwaka huu kazi mnayo sio mchezo bwaa shee!!
Maana yake ni kuwa magufuli kaweka ilani ya chama chake pembeni na ananadi sera zake binafsi. wapinzani wakinadi sera zinazofanana na zake ndipo anakimbilia kwenye ilani ya chama.Rais Magufuli leo akiwa mkoani Mara amezungumzia kuhusu sera ya kutoa Bima ya afya kwa watanzania wote.
Ahadi hiyo ameitoa leo kwenye kampeni zake huko musoma mjini.
Kuthibitisha kuwa sera hiyo ni yake amesoma Ilani ya ccm ya uchaguzi 2020 katika ukurasa wa 139 kipengele "e".
Amesema ahadi hii lazima itekelezwe kwa utaratibu maalumu.
Amesema wapinzani wasiwe wanaongea tu bali kabla hawajaanza kukurupukia sera wawe wanasoma Ilani ya ccm kwanza ili wasiwe wanacopy sera.
Naamini mhe. Tundu Lissu atajibu hili kisomi kabisa.
Uchaguzi 2020 - Kufanya Afya: Tundu Lissu ameudanganya Umma na kunakili ilani ya CCM kuhusu Afya
Wangewekaje bima ya afya miaka ya nyuma kama serikali haina hospital zake na vituo vya afya vya kutosha?? Ndo maana tunataka maendeleo ya vitu kwanza kisha ya watu baade.loe serikali ikiwa na miundo mbinu yake ya kutosha ni
Vyepesi kutoa huduma muhimu kwa wananchi wake kwa ghaama nafuu.
..TL aendelee kuwabamiza.
..akiendelea hivi watawataja waliompiga risasi.
Naamini wale waliokuwa wanasema universal health care haiwezekani watakuja na song mpya Sasa? Lakini pia Ilani ya Chadema imetengenezwa lini na ya ccm lini hadi ionekane mmoja kacopy kwa mwenzie?Rais Magufuli leo akiwa mkoani Mara amezungumzia kuhusu sera ya kutoa Bima ya afya kwa watanzania wote.
Ahadi hiyo ameitoa leo kwenye kampeni zake huko musoma mjini.
Kuthibitisha kuwa sera hiyo ni yake amesoma Ilani ya ccm ya uchaguzi 2020 katika ukurasa wa 139 kipengele "e".
Amesema ahadi hii lazima itekelezwe kwa utaratibu maalumu.
Amesema wapinzani wasiwe wanaongea tu bali kabla hawajaanza kukurupukia sera wawe wanasoma Ilani ya ccm kwanza ili wasiwe wanacopy sera.
Naamini mhe. Tundu Lissu atajibu hili kisomi kabisa.
Uchaguzi 2020 - Kufanya Afya: Tundu Lissu ameudanganya Umma na kunakili ilani ya CCM kuhusu Afya