Uchaguzi 2020 Kumbe sera ya Bima ya afya kwa watanzania wote Tundu Lissu ka copy kutoka Ilani ya CCM!

Kwa hiyo dunia nzima bima ya afya ina hati miliki yenu? Kwa hiyo amekiuka copy right yenu? Ujinga ni zigo sawa na zigo la miba mkichwa.

Ndiyo maana mnaitana washamba!

Si muda mrefu hata kupigwa risasi mlikomshambulia mtasema amekopi kutoka kwenu.
 
Mkuu, tl alikuwa hajajiandaa kwa level ya uraisi, ndo maana anaunga unga hoja, zingine ndo hizo kaiba ccm
Ha ha we jamaa nikisoma post zako hua naishia kucheka tu. Wewe ni bendera fuata upepo, unashabikia ccm hata ilani huijui unasubiri jiwe aropoke kisha uliunge juu kwa juu. Headless chicken, mwaka huu kazi mnayo sio mchezo bwaa shee!!
 
Kadili kampeni za CCM zinavyozidi kupambama moto, Lissu anakosa sifa za kuwa Rais na wananchi wanamdharau.
Unaandika wakati instinct yako haikwambii hivyo, unaugulia ndani kwa ndani poleni sana wana mboga mboga
 
Yanatoka moyoni hayo? Basi mnatia huruma, mmekuwa la kila wakati kujitetea/kujieleza.
 
Ha ha we jamaa nikisoma post zako hua naishia kucheka tu. Wewe ni bendera fuata upepo, unashabikia ccm hata ilani huijui unasubiri jiwe aropoke kisha uliunge juu kwa juu. Headless chicken, mwaka huu kazi mnayo sio mchezo bwaa shee!!
Sera za midege na madaraja ya Dar zimepwaya kisawasawa na bado
 
Miaka 50 ya utawala wa ccm leo hii ndio aje kuisema? ,uwe unajiongeza
 
Sera za midege na madaraja ya Dar zimepwaya kisawasawa na bado
Hali ni mbaya sana, huwa nacheka sana nikimsikia Lissu the great anavyobomoa nyumba. TL ana msemo wake anakwambia hizi ndege na madaraja tunayoringishiwa kila siku ha ha
 
Profesa Kitila hajui kitu kama wenzake wa jalalani, wanalinda matumbo yao kwa mapambio muda wote.
Kila kitu huko ni Jiwe, hata namna ya kununua mazao ya wakulima, na kila siku anakwama, anatia hasara kubwa.
Nyie ni Wazee wa miundombinu, sera yenu kuu ni midege kwa wingi na madaraja ya baharini kila wilaya.
Mengine ndio mnashituka baada kumsikia CHADEMA (Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu); Kwa mfano: kulipa nyongeza ya mishahara, malipo ya mazao ya wakulima, bima ya afya, katiba ya wananchi.
 
Ha ha we jamaa nikisoma post zako hua naishia kucheka tu. Wewe ni bendera fuata upepo, unashabikia ccm hata ilani huijui unasubiri jiwe aropoke kisha uliunge juu kwa juu. Headless chicken, mwaka huu kazi mnayo sio mchezo bwaa shee!!
Katika post zangu zote zitatimia kwenye uchaguzi huu, na zingine tayari mkuu. Ni baadhi ya watu wachache waonao mbali. Katika mwaka ambao chadema mmeharibu kupita maelezo, basi utakuwa ni huu uchaguzi, kuwa involved na foreign entities, mmejichafua sana mkuu. Utaona kwenye sanduku na baada ya sanduku. Watu wamekanywa ndo maana ameachwa abwabwanje tu.
 
Maana yake ni kuwa magufuli kaweka ilani ya chama chake pembeni na ananadi sera zake binafsi. wapinzani wakinadi sera zinazofanana na zake ndipo anakimbilia kwenye ilani ya chama.
 
Mtasema kila jambo lakini Lissu kawashika pabaya.
 
Wakati hospital za serikali bei sawa na private...nitakua wa mwisho kuliamini hili hasa kwa serikali ya CCM
 
Mbona walishataja...Mama yetu Samia nae amelewa madaraka akaropoka waliompiga risasi.
..TL aendelee kuwabamiza.

..akiendelea hivi watawataja waliompiga risasi.
 
Mimi swali langu kwa mtoa mada naomba muulize mwenyekiti wako TANZANIA YA VIWANDA IMEISHIA WAPI?
 
Naamini wale waliokuwa wanasema universal health care haiwezekani watakuja na song mpya Sasa? Lakini pia Ilani ya Chadema imetengenezwa lini na ya ccm lini hadi ionekane mmoja kacopy kwa mwenzie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…