Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

Yaani mnyama tunamuwinda sisi, jasho linatutoka sisi, kisha DP World anakuja kutuconvince kuwa yeye ana kisu kilali zaidi tumuachie mnyama atatumegemea mapande ya nyama na sisi tunakubali. Kama huu siyo uzwazwa ni nini?
 
Ni kweli, otherwise turudi kwenye mjadala wa mantiki ya uhuru ni ipi kama tunaingia mikataba kama hii! Tukubaliane na Waingereza warudi tuwape madaraka kama tumeshindwa kujiendesha kwa kiwango hiki.
 
Nakwambia Hujaelewa argument ya maria. Hili ni jipya, kuna sehemu nimezibold.... zitafakari. Argument siyo financial policies za WB how they work, NO.... ni uwekezaji wa fedha kuendeleza bandari wanaousema akina Mbarawa and Co. Ltd wakati uwekezaji fedha zilishatolewa na contract construction...vifungu tata kwenye mkataba!
 
Sijui kwa nini watu hawaoni umhimu na ufanis wa DPW na hawasemi tatizo ni nini wako too general.
Acha kuwa mmpumbavu... Unajadilije uafanisi ambao haujauona?, Tahira wewe.
 
Wewe ndo yule ambaye umegundua kuwa mwanao ni pung'a lakini hukereki bali ni kuishia kuwaambia majirani zako kuwa, hajalishi hilo ili mradi basha wake analeta fedha za matumizi nyumbani.
asante sana (ingawa mfano wako hataupenda), lkn umemjibu vema kabisa
 
Zinauzwa serikali aitaki kununua kwa sababu ni hela nyingi serikali inaona kama kuna mtu yupo tayari kununua na kurudisha hela yake wampe muda; basi iwe ivyo (sasa usije kusema muda wa milele) maana hilo halipo.
Unadhani DP WORLD Hizo Pesa watazitoa Wapi?!!! Au unadhani kuna mwekezaji anatumia his own money ? Usishangae yeye akatumia collateral ambao ni huo mradi kwenda kukopea kwa financiers kwahio mwisho wa siku ni asset yako wewe mwenyewe ambayo ime-facilitate huo mradi..
 
Hapana hao DP world wana kuja na mitambo yao pamoja na technology yao wana fanya oparation mantainance and investment manaake wata panua bandari iwe kubwa zaidi
Hizo hela Serikali ilikopa IMF zilikuwa za nini?
 
exactly! tunapinga contract construction na siyo uwekezaji. Funny enough hawa hawaji kuwekeza pesa zao, kazi zote zilishafanywa na WB funding..... lkn tunaambiwa watawekeza trillions


Lakini ndugu kwani Lazima uwekezaji ufanyike bandarini?

Kwan wakiwekeza kwenye:-
1. Technology
2 Maritime service and equipments na
3. Industrial parks,
Maeneo ambayo wana uzoefu nayo kwa muda mrefu, kwani iko mbaya?
 
Ni mwendelezo wa threads kwa kubadili headings tu but hakuna jipya. Inatia uvivu ht kusoma
 
Pili wawekezaji wameelezea wanachoenda kuongezea wao hapo bandarini.
Wamekiweka kwenye maandishi ama mdomoni ili wakulainishe moyo wako. Usiwe biased. Huyo mkurugenzi anaweza akapigwa fungu la maisha milele atetee una uhakika
 
Ilimradi kila kukicha waanzishe uzi humu sijui wanalipwa!
 
Ilimradi kila kukicha waanzishe uzi humu sijui wanalipwa!
Hawapendi maendeleo wengi ni wafanya kazi wa bandari, ulaji wao unaondoka kwa ujio wa Dp world lazima waanzishe nyuzi kila wakati
 
Wanajazana ujinga tu.
Kutwa kushindana kuanzisha threads mpya humu but ukisoma unakuta ni marudio kwa styles tofauti tofauti
 
Hao WB nduo wapuuzi wakubwa, kwa sababu mambo kama haya ndiyo wanayoyapigia chapuo sana kwa sasa hivi.

Wao WB wanachojari ni kuwa pesa yao italipwa tu basi. Hayo mengine ya nchi kunufaika au la hawana habari nayo.

Hawa WB na IMF ndio wanaowahimiza akina Samia wa dunia hii kuziuza nchi zao bila kujitambua.

Hawa ndio wanaotuingiza kwenye ukoloni mpya kwa lazima kwa jina la maendeleo.

Hii 'model' ya maendeleo hawatuonyeshi mifano ya nchi zilizoutumia muundo huo na nchi hizo zikapata maendeleo.
 
hii ni darasa kubwa mno aise ๐Ÿ™
 
DP anakuja kuchukua nafasi ya Tics,Tics aliwekeza bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ