mbedegalo mbeka
Member
- Mar 16, 2020
- 25
- 40
Ungeleta na ushahidi huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zilikopwa lini!?
Huyo mkurugenzi wa bandari kaongea maneno na fikra zake tu, lakini mengi aliyoongea hayako popote kwenye mkataba, hivyo muwekezaji hafungwi popote kuyatekeleza.Badala ya kutafuta makala ya bandari ya Dar na kumsikiliza mkurugenzi wa port.
Yote hayo keshayaongelea issue ni cranes za kisasa ambazo hazitoshi.
Pili wawekezaji wameelezea wanachoenda kuongezea wao hapo bandarini.
Wewe unatoka kwenda kumsikiliza kichaa mmoja Twitter ndio source yako; badala ya kuwasikiliza wahusika tena video wameonyesha ya kilichofanyika bandarini.
Kwa hiyo ni wewe tu hapa Tanzania ndo unaejua physical meaning ya kuwekeza? mfano sema specific kwenye huo mkataba tatizo ni nini? na je kwenye mataifa yote DPW walikowekeza nao hawajui maana ya uwekezaji?Nimekwambia uelewa wako umekomea hapo... sasa DP world anakuja kuwekeza nini? Unajua maana ya kuwekeza?
Mkuu Ina maana $21 Million ndio mtaji wa kuendesha bandari ya Dar es salaam?Umeambiwa report za World Bank na CAG. Tulipewa fedha $21M kwaajili ya mifumo na DP World ndio wametajwa watekelezaji! Jamani hapa hatufanyi siasa! This is very serious National matters. Binafsi sijasoma hizo report lakini kwa credibility ya Maria hawezi kusema jambo linalogusa taasisi nyeti bila ushahidi.
Inaogopesha sana!
Wewe ni uchafu. Yaani wewe ni takatakaHayo yote ya nini jambo muhimu ni ufanisi ili serikali iongeze mapato kupitia bandari........na hilo Dp world ndo imekuja kutekeleza basi, hata kama mkataba ni wa miaka 100 as long serikali ina pata faida na inahudumia wananchi wake vizuri na kufanya maendelo hamna shida tuache fitina za kijinga.
Source vipi ?Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI
Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia
Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati 11
👉🏽kuboresha na kuunganisha na reli
👉🏽 Kupanua na kuimarisha Gati 8-11
👉🏽Kuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa
Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA
Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7
🙄
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??
Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao 😄 kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu!
YAANI KIUFUPI WANAKUJA KUTEKELEZA MRADI WA PESA ZA MKOPO WA WORLD BANK
Nyieeeeeeeeee!
Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
Ila #TutaelewanaTu
Yaani mpaka leo hujui kwenye mkataba kuna tatizo gani!!? Wewe ulitakiwa uwe milembeKwa hiyo ni wewe tu hapa Tanzania ndo unaejua physical meaning ya kuwekeza? mfano sema specific kwenye huo mkataba tatizo ni nini? na je kwenye mataifa yote DPW walikowekeza nao hawajui maana ya uwekezaji?
Basi serikali iseme inakodi kampuni ya kusimamia uendeshaji wa bandari kama vile Mkapa alivyowaleta Net group Solution waendeshe TANESCO na isiseme inaleta wawekezaji. Maana hakuna wanachokuja kuwekezaHayo yote ya nini jambo muhimu ni ufanisi ili serikali iongeze mapato kupitia bandari........na hilo Dp world ndo imekuja kutekeleza basi, hata kama mkataba ni wa miaka 100 as long serikali ina pata faida na inahudumia wananchi wake vizuri na kufanya maendelo hamna shida tuache fitina za kijinga.
Leta hoja leta ujinga bandari imeka miaka mingapi hatuna faida nao wakati serikali inahitaji pesa kununua dawa, na kutoa huduma kwa wana nchiWewe ni uchafu. Yaani wewe ni takataka
Serikali kulipa madeni yake shida, kutoa huduma shida za jamii inajikwamua. Ikawekeze tena bandarini wakati kuna mtu yupo tayari. Ambae kwanza anaweka hela yake, analipia kodi ya eneo bandari, anagawana mapato yake na TPA, na anaongeza volumes za mizigo TRA ipate kodi zaidi kwenye forodha...badala ya kununua ma-V8 serikali ikajenge hiyo multi storage car park.
..tukiwaruhusu Dp wajenge hiki au kile iko siku watakuja kutuliza.
Unaleta cheap propaganda! Jibu swali tatizo specific ni lipi? Wewe si unao mkataba hapo?Yaani mpaka leo hujui kwenye mkataba kuna tatizo gani!!? Wewe ulitakiwa uwe milembe
Hapana hao DP world wana kuja na mitambo yao pamoja na technology yao wana fanya oparation mantainance and investment manaake wata panua bandari iwe kubwa zaidiBasi serikali iseme inakodi kampuni ya kusimamia uendeshaji wa bandari kama vile Mkapa alivyowaleta Net group Solution waendeshe TANESCO na isiseme inaleta wawekezaji. Maana hakuna wanachokuja kuwekeza
Hivi hao wanaoendesha bandari wanapatikana kwa utaratibu gani?!Let us agree to disagree, usinilazimishe niamini unacho amini, hoja yangu ni kwa DP world itaongeza ufanisi na mapato serikalini yataongezeka.......sisi wabongo tumeshindwa kuendesha bandari kwa mda mrefu
Mtu ambae kazi yake ni kusimamia uendeshwaji wa bandari ya Dar na amekuonyesha kilichofanyika.Huyo mkurugenzi wa bandari kaongea maneno na fikra zake tu, lakini mengi aliyoongea hayako popote kwenye mkataba, hivyo muwekezaji hafungwi popote kuyatekeleza.
Jiulize haya yote aliyosema mkurugenzi wa bandari.
Je, yanahitaji kwa lazima muwekeza binafsi ili kuyatekeleza?
Je, serikali haiwezi kuyatekeleza?
Je, yanahitaji mkataba wa milele kutekelezwa?
Je, yanahitaji muwekezaji kupewa bandari zingine zote ili yatekelezwe?
Fikra ndogo sana!!Hayo yote ya nini jambo muhimu ni ufanisi ili serikali iongeze mapato kupitia bandari........na hilo Dp world ndo imekuja kutekeleza basi, hata kama mkataba ni wa miaka 100 as long serikali ina pata faida na inahudumia wananchi wake vizuri na kufanya maendelo hamna shida tuache fitina za kijinga.
Weka uchawa pembeni jibu hoja!!Hayo yote ya nini
Serikali kulipa madeni yake shida, kutoa huduma shida za jamii inajikwamua. Ikawekeze tena bandarini wakati kuna mtu yupo tayari. Ambae kwanza anaweka hela yake, analipia kodi ya eneo bandari, anagawana mapato yake na TPA, na anaongeza volumes za mizigo TRA ipate kodi zaidi kwenye forodha.
Na akisharudisha hela yake na kutupa uzoefu maeneo yenyewe aliyopewa anawarudishia TPA; unataka nini tena kama ndio serikali.
Issue hapo ni kuingia mikataba mizuri ya utekelezaji; lakini IGA aina shida yoyote.
Hayo yote ya nini jambo muhimu ni ufanisi ili serikali iongeze mapato kupitia bandari........na hilo Dp world ndo imekuja kutekeleza basi, hata kama mkataba ni wa miaka 100 as long serikali ina pata faida na inahudumia wananchi wake vizuri na kufanya maendelo hamna shida tuache fitina za kijinga.
Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI
Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia
Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika)
👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani
👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati 11
👉🏽kuboresha na kuunganisha na reli
👉🏽 Kupanua na kuimarisha Gati 8-11
👉🏽Kuna RORO terminal ilijengwa na kukamilishwa
Sasa tuangalie wanachodai DP World kufanya kwa mujibu wa IGA
Cha kwanza kikubwa eti kujenga, kuendesha na kusimamia RoRo terminal na Gati 1-4 na gati 5-7
🙄
Yaani pesa zote zimewekezwa za walipa kodi kupitia mradi wa sasa wa WB alafu wao wanakuja kuendesha na kusimamia? Wanawekeza nini??
Ndiyo maana mkataba haujawekwa thamani ya uwekezaji wao 😄 kumbe wanadandia mradi unaoelekea kukamilika waje wajisifu!
YAANI KIUFUPI WANAKUJA KUTEKELEZA MRADI WA PESA ZA MKOPO WA WORLD BANK
Nyieeeeeeeeee!
Mnaotetea mkataba huu mnajua kuwa mnatumika kutetea ulaji wa genge ndogo!?
Ila #TutaelewanaTu