Kumbe Tanzania siyo Maarufu kihivyo kama tunavyokaririshana



Hii ndio kazi iliyopo nchini walio na nafasi wawaongeze watu wao wapande kwenye mengi hapa nchini kwanza nao watajipaisha na kupaisha wengine.

Hata watu binafsi wajitoleee nao wafundishwe kuacha uchoyo wa kuambia wengine pia..

Ni mengi...
 
wao wenyew hawajijui sas wew unajisumbua wakujue
 
sisi tunawahitaji kuliko wao wanavyotuhitaji.
They need us way more than we need them, don't be a fool! Unajua ni kwa nini Marekani hawakishiriki Berlin conference ya kugawana Afrika mwaka 1884? Toa ujinga kichwani..!
 
They need us way more than we need them, don't be a fool! Unajua ni kwa nini Marekani hawakishiriki Berlin conference ya kugawana Afrika mwaka 1884? Toa ujinga kichwani..!
Tunawataka waje wawekeze , watalii waone maajabu yetu tunayojisifia huku mkuu. Mambo ya marekani na Berlin siyajui
 
Itakuwa maarufu tu pindi tutapoona bidhaa zetu kwenye supermarkets zao na kuandika Tanzania coffee nk
 
Hao watu ndio elimu yao ni ndogo,kutofahamu kitu ambacho kipo ni dalili ya huyo asiyefahamu,elimu yake ni ndogo au utambuzi wake wa masuala ya kimataifa ni mdogo.
 
siyo ajabu Zenji ni ya kitambo mno sio tz ya 61 tu
Ni uchache wa elimu,kushindwa kutambua masuala ya kimataifa.Huyo asiyetambua kuwapo kwa Tanzania,ndio wa kumuonea huruma,ni kwamba hata kusoma ramani ya dunia hajui au hatambui kama kuna ramani ya dunia.
 
Basi hao shule zao zitakuwa hazijawasaidia chochote
Ina maana hawajafundishwa kuwa Dunia ina mabara mangapi.?
Wewe ndio umejibu vizuri,hao wasiotambua hata mabara ya dunia na nchi zilizomo,ni vilaza wa mwisho.Sio wazungu wote ni wasomi,wengine hata kuandika hawajui.Najivunia kuwa mtanzania.
 
Ni uchache wa elimu,kushindwa kutambua masuala ya kimataifa.Huyo asiyetambua kuwapo kwa Tanzania,ndio wa kumuonea huruma,ni kwamba hata kusoma ramani ya dunia hajui au hatambui kama kuna ramani ya dunia.
Kwa hiyo sisi hatuna kosa la kuuchuna na masifa yote ya kiuchumi ambayo wangejua wangekuja kuwekeza
 
Mkuu unataka kunambia ww unajua nchi zoote out of africa? Kuna akina beckham,billgate,rickross hawa tu wanatosha kufahamu kuwa kuna nchi inaitwa Tanzania,na waliobakia woote ni watumiaji wa tecno so sishangai kutoijua TZ.
 
Hii ndio point
 
Basi hao watu ni wajinga sana,ina maana hata elimu ya jiographia hawana....kweli ulaya kuna wajinga wengi.... nenda tz muulize mtoto yyte wa darasa la sita Panama ipo wp? ama Kisiwa cha Cyprus watakwambia....
Tuanze hivi tu unazijua nchi zote duniani
 
Elimu yao ina walakini. Jiografia ya kuzijua nchi za dunia na miji mikuu yake yote tuliimasta vizuri darasa la nne enzi zetu. Kweli elimu imeporomoka duniani kote zama hizi!!
 
flesh tu, kwani kuna tatizo mkuu wangu.
Tunaishi kijijini mwa dunia. Tupunguze mbwembwe.
hahaha nikweli hata rooney alipokuja tz vyombo vya habari vya uingereza vili report kwamba amefikia kwenye kijiji cha wavuvi kiitwacho daresalaam
 
Kitu gani ambacho kipo Tanzania nchi zingine hakipo icho, pia na hata icho kitu kikiwepo hii inamaana kila nchi inakitu ambacho nchi zingine hakuna
 
Labda bado wanaijua kwa jina la Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…