October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
Kwajibu hili inamaana hata sisi tunazijua nchi maarufu tu za ulaya ndio maana umetaja ufaransa kuna nchi ukitajiwa uzijuiKwani na wao wakiwa Tanzania wakafika mpaka usukumani maeneo ya malampaka wakajitambulisha wao wanatoka Ufaransa unadhani wataeleweka na wote,
Hata sisi tunawajua wao wote ni wazungu na mji wao mkuu ni Marekani!
Hii point kila mtu akifikiri kama hivi ndio kupevuka akili maana muda mwengine najiona kama mimi ninauwezo wa kichambua mambo pekeyanguMbona hapa bongo wasomi wengi tu hawajui kama kuna nchi kama kurdistan
Tushaanza kujitangaza kupitia dreamliner
Kwasababu upo ndani ya Tanzania hivyo hata ungekuwa ndani ya hiyo nchi ungesema zaidi ya hivyo.Kwa sababu haina ishu yoyote.
Ila sisi tunaambiwa tunamavitu mengi amezingi ambayo hayapatikani duniani kote.
Hivyo ni sawa sisi kutowajuwa wao, ila ni ajabu wao wasitujue sisi mkuu wangu
Nimesoma Geography na nimwalimu pia wa geography lakiniwizo nchi mbili ulizozitaja sizijui ndio nazisikia, so hii inamaana sio nchi zote zinajulikana ila wewe unaiona maarufu kwasababu upo ndani ya iyo nchi.Watu wengi wa Amerika Kusini na Asia hawajasoma.. ..unawezaje kusema kuna nchi inaitwa Afrika na mji wake mkuu ni South Africa? Mbona sisi tunajua nchi kama Cambodia, Papua New Guinea, Fiji, Estonia ,Bolivia na Vanuatu? Nadhani hao wanaosema hivyo ni watu wa mtaani ambao hawajasoma...chukulia mfano hata hapa bongo, kuna watu hawaijui hata hizo nchi tajwa hapo juu mf. Bolivia au Guetemala kwa sababu hawajawahi kuzisikia (asilimia kubwa ni kwa sababu hawajasoma i.e Geography, History au Civics)
Mfano mzuri tu kilimanjaro boya tu, tuchukulie mlima mrefu duniani kwajina Evarest je unajua nchi yake kwasababu huna mpango ila kama unaitajika kujibu kwenye mtihani au kwenda kutalii sekinde tu unajua nchi.Tusifichane ndugu, nchi za mbele Tz haijulikani kabisa. Hata wanaoujua mlima kilimanjaro ni wale wanaofanya utalii ila wale waliotulia nchini kwao hawaujui. Huku kwetu tunalishana matango kuwa sisi ni maarufu duniani.
Duu ndio ajila yako nini.Nazijua zote...mpaka na visiwa vyake
Clinton, Obama, Bush, Harrison Ford, Will Smith, Abrohimovich, Chris Tucker, Angelina Jolie, Late Wacko jacko, Wawakilishi wa Baraza la Senator la Marekani karibu wote, Veteran wa Real Madrid zaidi ya 25, Uongozi na wachezaji wa Everton, Bill Gates, .....Tujitahidi.
Haiwezekani tuseme ni wa pili kwa vivutio vya utalii dunaini wakati wa kuwavutia hawajui kama kuna watu wanawavutia na vivutio vyao. Hawajui hata kama wapo au vipo.
May be you lacked confidence when you were introducing yourself to the mentioned countries. Tanzania is well known all over the world. Be proud of your country jamani.flesh tu, kwani kuna tatizo mkuu wangu.
Tunaishi kijijini mwa dunia. Tupunguze mbwembwe.
Nakubaliana na wewe kabisaKutokujua Tanzania ni nchi ni uzembe wao wakutokusoma jiografia
I agree with you 100%Sio ajabu. Watu wengi wa nje wanaifahamu Afrika.
Hata wewe hapo, Marekani ni muunganiko wa nchi kama 50 hivi. Lakini sidhani kama unazifahamu nchi zote zaidi ya Marekani kama Marekani.
Russia, ni muunganiko wa vi nchi vingi, ila sana sana wewe utakuwa unaifahamu Moscow.
China vile vile, ni muunganiko wa nchi nyingi but wewe utakuwa unaifahamu Shanghai na Hong Kong.
Ulaya pia sidhani kama unazifahamu nchi zote. Kuna nchi ukitajiwa majina unabaki unashangaa!
Sasa kama mtu anajua kwamba kunanchi inaitwa Africa na makao makuu ni south Africa sasa kosa lake au letunamsikiliza Bilionea Ali Mfuruki amesema kuna wawekezaji anakutana nao huko nje akiwaambia anatokea
Tanzania wanashangaa Tanaznia ni nini, na iko wapi hapa duniani? : ITV 45 dakika
Kuna jamaa alienda mkoa mmoja huko ufaransa wale jamaa waliokutana nao huko aliposimama kujitambulisha wanamshangaa kuwa tanzania ni nini, na ni wapi huko.
Kuna jamaa niliwahi kumsikia BBC, ni mbongo ambaye alikuwa anamradi wa kuzunguka dunia kwa baiskeli alipofika maendeo ya Bolivia huko wanamshangaa anaposema ni mtanzania. Wenyewe wanajua kuna nchi inaitwa afrika na mjii kuu wake ni South afrika.
Tuache majivuno huku tuko kijijini hatufahamiki. Tujitangaze.
Hao waliokuwa hawajui ni wale mazuzu au ni wale wazee walio zeeka..,namsikiliza Bilionea Ali Mfuruki amesema kuna wawekezaji anakutana nao huko nje akiwaambia anatokea
Tanzania wanashangaa Tanaznia ni nini, na iko wapi hapa duniani? : ITV 45 dakika
Kuna jamaa alienda mkoa mmoja huko ufaransa wale jamaa waliokutana nao huko aliposimama kujitambulisha wanamshangaa kuwa tanzania ni nini, na ni wapi huko.
Kuna jamaa niliwahi kumsikia BBC, ni mbongo ambaye alikuwa anamradi wa kuzunguka dunia kwa baiskeli alipofika maendeo ya Bolivia huko wanamshangaa anaposema ni mtanzania. Wenyewe wanajua kuna nchi inaitwa afrika na mjii kuu wake ni South afrika.
Tuache majivuno huku tuko kijijini hatufahamiki. Tujitangaze.
halafu kitu kingne walio nje ya africa wanatazama bbc na redio zingne ivyo haimpi shida kuijua tanzaniaWalio nje ya Africa wanajua Africa ni nchi moja tu so kuzijua nchi nyingine ni ngumu. Hafu ukiona mzungu hajui Tanzania huyo ni mzembe, eeeh mi nilikutana na wazungu flani wame seeach information za nchi hii in detail had tabia za makabila na Raisi wetu in detail. Zanzibar wanaifahamu maana ni tourist destination mkuu.