Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali Rais Samia ameonekana akitumia ndege mpya ya Rais yenye usajili 5H-ONE aina ya Gulfstream G700, kwa mujibu wa Data ndege hii imeanza kutumika mwezi February.

Wengi wamekuwa wakidhani ndege hii ni ile aliyokaicha Hayati Benjamin Mkapa ila ndege aliyokaacha Mzee Mkapa ilikuwa na usajili wa 5H-ONF aina ya Gulfstream G550
 
Wengine wanajua kabla ya wananchi kufahamu, hii inamaanisha ata kama ningekikuta sehemu ndani ya Tanzania ningesema nimeokota ndege kwani siyo mali Tanzania.
 
Hiyo kanunua Samia mwenyewe binafsi
 
Mama yenu kasgikiwa akili zake na Waziri Rajabu
 
Rais huyu anapenda anasa sana kuliko uwezo wa Nchi.
 
Samia naomba usiwapakie wa bara hawakupendi pakia wanakisiwa tu sawa mama abdul🤔🤔
 
Siyo aliyojaiacha we mmajonde bali aliyoiacha, mkapa alinunua ndege mbovu,si wajua serikali yake ilijaa ufisadu,ndege mbovu,rada mbovu, mikataba ya kimangungo
 
Wengine wanajua kabla ya wananchi kufahamu, hii inamaanisha ata kama ningekikuta sehemu ndani ya Tanzania ningesema nimeokota ndege kwani siyo mali Tanzania.
Ata ndiyo nini we nyang'au!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…