Kumbe Tundu Lissu anadaiwa kwa kulipwa malipo hewa!

Kama hiki ndicho umejaariwa kuwa nacho Moyoni ,basi hufai katika jamii ya wastaarabu.
Labda ungeeleza unaufahamuje ustaarabu! Na kama kumdharirisha rais wa nchi yetu na ambaye pia ni baba na mume wa mtu kulikofanywa na TL akiwa marekani kunaonyesha ustaarabu kwa kiwango chako cha ufahamu!
Au umekariri tu neno ustaarabu bila kujua hata maana yake!
 
😁😁,We unazengua ngoja nikapate zangu ulabu kusherekea karume day,,Hapa napoteza mda,nilitaka nikupe mbinu za kufanya propaganda kuongeza waungaji mkono chama,,naona uko mzito Sana kujiongeza
Hapo ndipo umekosea, mimi sifanyi propaganda, kwanza hata sijui maana yake! 😂 😂 😂 😂 😂 !
 
Aliweka kwapani, aliipokea na kutokomea america, uingereza na ujerumsni badala ya kuipeleka singida! Huo nao ni ukwapuzi!
Una ushahidi kwamba hizo hela alizitumia kwa namna unayosema? Lingine, alilipwaje hela ya jimbo wakati hakuwa bungeni? Pia fafanua, utaratibu kuhusu matumizi ya hela za jimbo ukoje??
 
Una ushahidi kwamba hizo hela alizitumia kwa namna unayosema? Lingine, alilipwaje hela ya jimbo wakati hakuwa bungeni? Pia fafanua, utaratibu kuhusu matumizi ya hela za jimbo ukoje??
Muulizeni yy mwenyewe TL baada ya kukwapua mlungula wote huo aliutumiaje bila kurudi sgd masharki!?
 
Inamaana huyo spika hajui lugha ya kusomea tz ni kiingereza.kwani wamafundisha kiingereza au urusi au japan.ukiona nchi inatumia kifaransa lkn mtu anashindwa kuongea hiyo lugha Kuna tatizo.Kwa Tanzania lugha zetu ni kiswahili pamoja na kiingereza so kwa msomi English is necessary

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By spika unamaanisha mh. Spika wa bunge, au? Aliyekuwa anazushiwa hapa mh. Magu! Ambae anaongea english nzuri tu by the way! Ni muhimu lakini siyo lazima naomba ujue tofauti yake! Na nisipoijua bado hainifanyi kuwa akili yangu ina kasoro! Kama kuongea kiingereza ingemaanisha aliyokuwa anabwabwaja TL basi tungekachukua katoto kadogo uingeleza katuongoze maana katakuwa kanaporomoa ung'eng'e kuliko hata hicho cha kinyaturu/ kinyiramba!
 
Aliweka kwapani, aliipokea na kutokomea america, uingereza na ujerumsni badala ya kuipeleka singida! Huo nao ni ukwapuzi!

(a) Hebu tupatie ni mwezi na mwaka gani?

(b) Hebu tuambie alipita njia gani na kwa kibali cha nani? Airport au mpaka gani

(b) Nani aliidhisha fedha kwa matumizi tofauti kama safari ilipangwa kwenye swali la msingi (a) hapo juu.
 
(a) Hebu tupatie ni mwezi na mwaka gani?

(b) Hebu tuambie alipita njia gani na kwa kibali cha nani? Airport au mpaka gani

(b) Nani aliidhisha fedha kwa matumizi tofauti kama safari ilipangwa kwenye swali la msingi (a) hapo juu.
Kama hujui basi hayakuhusu! Mfuatilie hii kesi mahakamani mtayajua yote tutakapoanza kumdai!
Kama anataka tuweke yote, mwambieni abwabwaje tena ili tumkumbushe maana kumbukumbu zake hzipo sawa kabisa!
 

Labda huelewewi maana ya uwajibikaji kama kiongozi wa umma

ALLY HASSAN MWINYI alijihuzulu madaraka yake baada ya askari kuuwa shinyanga.....hakuwatuma lakini wahalifu walitoka ndani ya wizara yake... Aliwajibika kama mhusika mkuu japo hakutenda chochote.

1. Lowasa kama waziri ilimpasa kubeba mzigo hivyohivyo

2. Lowasa kama waziri, hatakama akuhusika ilimpasa kutokana nanafsi yake

Swali ... (i)
1. Kwanini serikali ya ccm mpaka leo haijamchukulia hatua endapo Lowasa yeye kama Lowasa ndiye mhusika?

2. Tuliwasikia
A. Selina Kombani .. aliyekuwa waziri sasa marehem

B. Samuel Sita .... aliekuwa spika sasa
marehem

C. John komba.... capten sasa marehem

Hawa nimakada maarufu wa ccm walimnanga Lowasa kwamba fisadi na mgonjwa wa kufa muda wowote (kisa kujiunga upinzani)

Wote wamekufa Lowasa mzima

Ccm kwa ujumla walisema Lowasa jizi na fisadi kajiunga upinzani.....

Yeye std seven MSUKUMA aliimbisha watu kwamba Lowasa kajinyea.

Swali (ii)
1. Lowasa karudi CCM, Ufisadi wake umetakaswa lini kupitia mahakama gani?

2. Au CCM ni Chama Cha Mafisadi hivyo karudi nyumbani na kujumuika na mafisadi mengine ndio mmenyamaza?

3. Fisadi kangi Lugola amehukumiwa lini na kwenye mahakama gani? Zaidi ya bilioni moja na wenzake? Kuna watu wanasota na kutaabika mahabusu kwa million 17 tu!!!
 
Kama hujui basi hayakuhusu! Mfuatilie hii kesi mahakamani mtayajua yote tutakapoanza kumdai!
Kama anataka tuweke yote, mwambieni abwabwaje tena ili tumkumbushe maana kumbukumbu zake hzipo sawa kabisa!

Ukija kuleta hoja hapa usilete WEHU kamilisha taarifa uzushi sio mahala pake


(a) Hebu tupatie ni mwezi na mwaka gani?

(b) Hebu tuambie alipita njia gani na kwa kibali cha nani? Airport au mpaka gani

(b) Nani aliidhisha fedha kwa matumizi tofauti kama safari ilipangwa kwenye swali la msingi (a) hapo juu
 

Nimekupongeza sana kwa kusema unaweza kwenda mahakamani kumfungulia Lisu kesi. Sasa ili tukuunge mkono vizuri ukifika huko mahakamani ufungue na kesi ya Lugola ili tujue una uchungu usioacha shaka kwa nchi hii na mambo ya fedha za umma. Tena uzuri uchunguzi wa hilo suala la Kange Lugola takukuru wanasema wamekamilisha uchaguzi kwa 99%
 
Ni TL et al ndio walimhukumu wala siyo kumtuhumu kuwa EL ni fisadi! Alipohamia chadema hao hao akina TL ndio walimsafisha na kutska awe rais! Ccm walimkataa kuwa hatoshei urais! Au na hili hulijui!?.....or kwebi ninyi watu wa ufipani huo mnakitu kinaitwa selective amnesia, hivyo huwezi kumbuka!
Kwa hiyo hukumu walishamuhukumu skina TL na pia kumsafisha wenyewe na vifuata upepo nyie yote mliyashangilia na kuyashabikia! EL alipoamua tena kurudi CCM amepokelewa kama mwanachama dio kwenu, amefika leo na keshobkuwa mgombea urais!
Unaongelea kuwajibika hivi unakujua weye kuwajibika...au hicho ki list ndio kwako umeishia kwa maana nzima ya kuwajibika!? Bado hujui unachoongelea! Hata hivyo tusitoke kwenye maada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…