Mambo mengi tu tumechelewa ambayo nchi zilizotawaliwa zimefanikiwa kuyawahi. Mfano, SGR ilitakiwa iwe imejengwa kitambo tu, mabarabara ya lami kibao nk! Ni kweli, nchi za Asia mfano Korea Kusini zilikuwa sawa kimaendeleo na nchi za Kiafrika mfano Tanzania mpaka miaka 1960 lakini wenzetu wametupita. Huwa nangalia video za home industries huko Bangladesh, wale jamaa wametupita mbali sana kwa sababu sisi tunaagiza bidhaa kutoka China karibu kila kituWakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Kuna cha ajabu?Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Tatizo ni kuendekeza siasaMambo mengi tu tumechelewa ambayo nchi zilizotawaliwa zimefanikiwa kuyawahi. Mfano, SGR ilitakiwa iwe imejengwa kitambo tu, mabarabara ya lami kibao nk! Ni kweli, nchi za Asia mfano Korea Kusini zilikuwa sawa kimaendeleo na nchi za Kiafrika mfano Tanzania mpaka miaka 1960 lakini wenzetu wametupita. Huwa nangalia video za home industries huko Bangladesh, wale jamaa wametupita mbali sana kwa sababu sisi tunaagiza bidhaa kutoka China karibu kila kitu
Ni CCM na Nyerere na azimio lao la Arusha, walikimbiza capital na intelligence yote ambayo ingejenga nchicommunists walidanganya sana waafrika, kama tusingewasikiliza communists leo hii tungekuwa mbali sana. maputo ilikuwa inaitwa rio of afrika kabla ya communist kuchukuwa na kuharibu kila kitu, lobito angola was riviela kabla ya vita ya communists iliyoharibu angola kabisa.
kwanza karibia kila ktu tunachokifanya leo plan iliwekwa na wazungu, hata bwawa la Nyerere plan ya kulijenga ilikuwepo tangia enzi za wajerumani, cha ajabu communist walikuja wakabomoa trajectory iliyokuwepo miaka 60 imepita ndiyo tunataka kurudia kule kule ambako tulikukataa miaka 60 iliyopita wakati dunia imesha move on ...
Ni CCM na Nyerere na azimio lao la Arusha, walikimbiza capital na intelligence yote ambayo ingejenga nchi
Very true, sasa what are we going to do now kupata maendeleo kama wenzetu wazungu na Asians,maana kwa kweli kwa wenzetu kukosa chakula,maji,umeme au barabara ni kama story za kalesiyo yeye tu (Nyerere) ni post colonial afrika yote kuanzia north afrika mpaka southern afrika ukiondoa south afrika wote waliende the opposite direction i.e walidanganywa na kutumiwa ana communists wakabomoa capitalistic economic system iliyokuwepo na kuleta communism iliyoua afrika na kuifanya afrika kuwa the poorest continent in the world, kumbuka kabla ya uhuru afrika was not the poorest continent in the world, asia was poorer than afrika lkn leo hii communinsts wamebomoa afrika na kuwa the poorest continent na hawajamaliza bado kudanganya waafrika ...
Very true, sasa what are we going to do now kupata maendeleo kama wenzetu wazungu na Asians,maana kwa kweli kwa wenzetu kukosa chakula,maji,umeme au barabara ni kama story za kale
OK. Hivi unadhani hao Wakoloni walilijenga bwawa hilo kama zawadi au hisani au walikuwa na Agenda yenye maslahi kwao? Je, gharama za ujenzi zilitoka wapi? Halafu kwani kulikuwa na mashindano eti nani atakayekuwa wa kwanza au kuwahi kujenga bwawa kubwa la umeme?Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Zamani sana wao wanayo na ambayo hamna maji kuna mapangaboi "Wind turbine" makubwa sana hewani yanazunguka na umeme upo vijijini kotecolonialists walikuwa na long term vision.
Basi hayo yamejangwa na wakoloni, hili ni lakwetu tumejenga tukiwa nchi huru.Wengi hamkupenda hili bwawa lijengwe lakini limejengwa na fitna zilikuwa nyingi kama huyu hapa anayeongea kwa mbwembwe na kupigiwa makofi ndani ya Bunge lakini hayati Magufuli alikuwa anawacheki tu.Hata baadhi ya vyombo vingine maarufu huko nje walikuwa wanapinga na hata wakipata sapoti ya wanasiasa wetu wa ndani na sijui walipewa nini. Kisa eti uharibifu wa mazingira.Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
Inauma sana Afrika kuwa hivi tulivyo, tunaishi kama wanyama ingawa wapo wachache ndiyo wanakula maisha mazuri!siyo yeye tu (Nyerere) ni post colonial afrika yote kuanzia north afrika mpaka southern afrika ukiondoa south afrika wote waliende the opposite direction i.e walidanganywa na kutumiwa na communists wakabomoa capitalistic economic system iliyokuwepo na kuleta communism iliyoua afrika na kuifanya afrika kuwa the poorest continent in the world, kumbuka kabla ya uhuru afrika was not the poorest continent in the world, asia was poorer than afrika lkn leo hii communists wamebomoa afrika na kuwa the poorest continent na hawajamaliza bado kudanganya waafrika ...
a) Miradi ni mingi
1. Hale 1964
2. Nyumba ya Mungu 1965
3. Kidatu 1970
4. Mtera 1979
5. Kihansi 2000
6. Rusumo 2025
7. JNHPP 2026
8. Maragarasi unaendelea kutekelezwa.
b) Bado tuna miradi ya umeme wa jua
1. Kishapu I
2. Kishapu II unaendelea kutekelezwa.
c) Tuna umeme kutoka chanzo cha Songas kusini. Na vyanzo vingine vingi...
Kwa hiyo unasemaje, leo ndiyo umegundua hilo?Wakati sisi leo mwaka 2026 tunasherehekea kwa shughuli kubwa uzinduzi wa bwawa la Nyerere, Wakoloni wazungu wa Uingereza walishajenga bwawa kama hilo miaka 60 iliyopita kwa jirani zetu Zambia ( Kariba Dam), 1960 na Wareneo walijenga kama hilo Msumbiji (Cahora Bassa Dam) mwaka 1979 !
You must be nuts!MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
Leo ninakusikitikia sana kama unafikiri Samia anakupeleka huko akili yako inakolalia!tunaenda nayo sasa miaka 60 imepita ndiyo tunataka kurudia kule kule ambako tulikukataa miaka 60 iliyopita wakati dunia imesha move on ...