(Kumbukizi) Lema: Jenista, kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga

Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema:

"Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"

upuuzi mtupu
Sasa mmebaki kupiga ramli tu
Wewe sasa hivi ni kama late jenista. Huwezi kuelewa faida ya utawala bora,katiba bora na utawala wa haki na sheria. Mpaka siku yakukute. Hata Polepole maneno ya akina Lema alichukulia kama wewe.
Sasa hivi nasoma humu JF kuhusu Mwambe. Sijui nini kinaendelea ila mambo aliyodai Lema yangekuwepo usingesikia aina hii ya matukio.
It's sad.
 
Wewe sasa hivi ni kama late jenista. Huwezi kuelewa faida ya utawala bora,katiba bora na utawala wa haki na sheria. Mpaka siku yakukute. Hata Polepole maneno ya akina Lema alichukulia kama wewe.
Sasa hivi nadoma humu JF kuhusu Mwambe. Sijui nini kinaendelea ila mambo aliyodau Lema yangekuwepo usingesikia aina hii ya matukio.
It's sad.
Upuuzi mtupu
Kumbe wabongo wengi mnaamini ramli
Wewe unaeamini hivyo halafu unaweka avatar ya huyo mwehu alieanzisha huo utekaji na kuua watu hovyo ndio maana yake nini
Wabongo huwa hamjielewi mnataka kila mtu aamini mnachoaamini nyinyi, mkipingwa mnaaza kuonyesha hisia zenu.
 
Sikutegemea jibu tofauti na ulilotoa.
 
Mkitumaliza sisi Chadema, mtageukiana nyinyi kwa nyinyi CCM. Wapi Ndugai, Tulia, Mwambe. Nchimbi anatafutwa huku
Ni muda muafaka sasa kwa Mheshimiwa Mbowe kukichukua chama chake na kukifufua, maana tulisema Chadema inaenda kugeuzwa chama cha wanaharakati badala ya chama kikubwa cha upinzani kama hadhi waliyokuwa nayo kabla ya Mbowe kufanyiwa figisu.
 
Nyie hamumpendi Mbowe.

Mlikuwa mnamtumia kwa Sababu kwa uwepo wake pale chadema,nyie mlikuwa mnapata unafuu. Sasa hivi chama kimechukuliwa na watu wanaojielewa Wacha mpelekewe pumzi ya moto.

Na huyu mama yenu mediocre sukari itazidi kumpanda.

Nyie vibwengo wa buku Saba Endeleeni kubwabwaja Huku online,ila cha moto anakiona bi mkubwa wenu anayewapa jeuri.

Anatamani siku zingerudi nyuma akatumdika daruga ila kwa sasa too late.
 
Usisahau hapa ni Afrika, Ruto aliingiliwa mpaka bungeni, je ametoka na walikuwa wanataka atoke?
Ukifikiri eti wazungu watawasaidia mtasubiri sana
Sisi tunajua ajenda yenu, na hapa mmekabiwa kwa juu
Kama unaona kila asiekubaliana na upupu wenu ni buku sana, basi mtakuwa masikini sana ndio maana mlipata nafasi ya kuiba mali za watu kwa kisingizio cha maandamano, ila uzuri moto mliopelekewa hamtakaa mjaribu tena.
Mbowe ni Statesman sio choka mbovu wa chadema ya leo.
 
Umeongea vingi kwa kuvirundika kwa pamoja hadi unahama kwenye lane.

Kama umeona wivu sisi kuiba Mali za watu kwenye maandamano,ona wivu pia kwa bwana zako sisiemu wanaoiba mabilioni ya umma na kuyakimbiza nchi za kiarabu pia.

Najua hizo pesa wanazoiba wao hazikuumi kwa sababu unapata chochote kitu.

Unatuonea wivu sisi tulioiba hiki kidogo cha kwenye maandamano, mkuu?
 
Back
Top Bottom