(Kumbukizi) Lema: Jenista, kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa

(Kumbukizi) Lema: Jenista, kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa

Ni muda muafaka sasa kwa Mheshimiwa Mbowe kukichukua chama chake na kukifufua, maana tulisema Chadema inaenda kugeuzwa chama cha wanaharakati badala ya chama kikubwa cha upinzani kama hadhi waliyokuwa nayo kabla ya Mbowe kufanyiwa figisu.
Mnampaka Mbowe mafuta kwa mgongo wa chupa, toka lini mlimpenda zaidi ya kumtumia? Ama mmesahau ile propapanga ya muda mrefu kuwa ni Sacos ya wachaga? Mmesahau ioe propaganda ya muda mrefu kuwa ni mfalme Mbowe? Ni hivi uchaguzi wa cdm uliset standard ya juu sana ni kwa jinsi gani uchaguzi wa haki unapaswa kuwa. Mbowe alishindwa kihalali, na alikubali japo alizira, lakini alishindwa kihalali.

Kwa sasa cdm iko kama wafuasi na wanachama wake wengi wanavyotaka iwe, na sio ccm na serekali inavyotaka wawe. Na kwa taarifa yako cdm haipiganii kuwa chama kikuu cha upinzani, bali kuwa chama tawala. Hiyo kuwa chaka kikuu cha upinzani tumewaachia vyama vyenu vibaraka. Na kama ccm na serekali hii hamtakubali ukweli huu, kutaendelea kufanyika umwagaji mkubwa wa damu, lakini ukweli huo utatimia, na wengi mtaishia jela au kukimbia nchi. Tunza post hii kwa ajili ya rejea.
 
Au ni kichelema wewe, wakati wa JK akina ulimboka hawakutekwa? Ni mpuuzi anayewaza mabaya ya nchi kuwa yalianzishwa na JPM
Hayakuanzwa na JPM, lakini ndio uovu ulifanywa waziwazi na kwa kiwango cha juu sana. Huyu mama kaiga tembo kunya ndio maana kapasuka msamba.
 
Inaelekea wewe ni msomaji wa vichwa vya habari tu.
Nikuulize, unajua hatua alizochukua Ruto kutuliza ile presha ya vijana??

Nyie endeleeni kuitegemea AK- 47 mtapata mnachokitafuta.
Kwani Madagascar sio afrika, Sudan hapo kwa Elbashir haikuwa africa? Ama nikupe mifano kibao ili usikwepe ngumi kwa kufumba macho?
 
Kwani Madagascar sio afrika, Sudan hapo kwa Elbashir haikuwa africa? Ama nikupe mifano kibao ili usikwepe ngumi kwa kufumba macho?
Niliyemjibu amenielewa.
Hayo mengine subiri wanakuja kukupa mwongozo.
 
Niliyemjibu amenielewa.
Hayo mengine subiri wanakuja kukupa mwongozo.
Screenshot_20251129-214516~2.png
 
Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja, Jenista kwa jinsi unavyo penda uwaziri siku ukitumbuliwa utakufa
 
Upuuzi mtupu
Kumbe wabongo wengi mnaamini ramli
Wewe unaeamini hivyo halafu unaweka avatar ya huyo mwehu alieanzisha huo utekaji na kuua watu hovyo ndio maana yake nini
Wabongo huwa hamjielewi mnataka kila mtu aamini mnachoaamini nyinyi, mkipingwa mnaaza kuonyesha hisia zenu.
Tuwekee na ila Lema alimwambia Magufuli atakufa. Maza naye soon atakata moto. Pigia mstari
 
Lema ndiye Mtu mwenye unabii niliyepata kumshuhudia kwa sasa
 
Back
Top Bottom