(Kumbukizi) Lema: Jenista, kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa

(Kumbukizi) Lema: Jenista, kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa

Kama askari wanipige shaba ya kichwa ndiyo ungeridhika,basi na mabwana zako kina dully wanaoibia nchi yenye watu milioni 70 wao wanastahili kukatwa shingo kama kuku mbele ya hadhara ya watz.

Inashangaza kuona unajifanya kuumia na inshu ya maandamano ila huumii kwa wanayofanya hao watoto wa wakubwa wanaowapangisha nyumba za kifahari masaki na upanga kisha mnaingiliana kinyume na maumbile na parties za kishetani.

Mashetani wakubwa nyie.
Mkuu shetani ni mama yako aliyekuzaa acha matusi jibu hoja.
 
Mkuu shetani ni mama yako aliyekuzaa acha matusi jibu hoja.
Mkuu,

Wewe huna hadhi ya Mimi kukujibu kwa hoja kwa sababu comments zako zimejaa vioja.

Wanaokupiga dildo za makalio kwenye corridors za mbogamboga ndiyo wana hadhi ya kujadiliana na wewe coz wote ni ndege mnaofanana. Mna hadhi sawa..mashetani.

Kwanza sijakuita uni-quote,ni shobo zako za kishoga hadi sukari imekupanda.

Nionyeshe hoja ya kujadili,mkuu.
 
Ni muda muafaka sasa kwa Mheshimiwa Mbowe kukichukua chama chake na kukifufua, maana tulisema Chadema inaenda kugeuzwa chama cha wanaharakati badala ya chama kikubwa cha upinzani kama hadhi waliyokuwa nayo kabla ya Mbowe kufanyiwa figisu.
Hapa ilipofika CHADEMA ndio patamu sasa
 
Mkuu,

Wewe huna hadhi ya Mimi kukujibu kwa hoja kwa sababu comments zako zimejaa vioja.

Wanaokupiga dildo za makalio kwenye corridors za mbogamboga ndiyo wana hadhi ya kujadiliana na wewe coz wote ni ndege mnaofanana. Mna hadhi sawa..mashetani.

Kwanza sijakuita uni-quote,ni shobo zako za kishoga hadi sukari imekupanda.

Nionyeshe hoja ya kujadili,mkuu.
Unasema sina hadhi ya kunijibu lakini hapo hapo unanijibu!!! Utakuwa una matatizo ya afya ya akili!!!
 
Huyu jamaa maneno yake yasipuuzwe hata kidogo, so far kila analoongea limekuwa na kwa asilimia kubwa. Akiitwa nabii wa kizazi hiki tusibishe.
 
Huyu jamaa maneno yake yasipuuzwe hata kidogo, so far kila analoongea limekuwa na kwa asilimia kubwa. Akiitwa nabii wa kizazi hiki tusibishe.
Usimpuuze wewe. Sisi tunampuuza sana tu.
 
Msenge mwenyewe!!
Huyo maushungi mnayemtetea humu mtoto wake ndiyo anafanya huo usenge ,Ushahidi upo Twitter na amefunga acc yake,Unajua hilo?

Alafu mkuu,

******* wenzio wenye hadhi ya juu wanapelekwa Dubai kula bata,wewe na machawa wadogo wadogo unaachwa bongo ulinde JF na mitandao mingine uwatukane wanaowasema vibaya hao watu.

Mnaishia kumvamia Kila mtu anayeenda kinyume na utawala dhalimu humu mitandaoni.

Ukiiona hii I'd ipitie mbali.

Takataka wahed!!
 
Usimpuuze wewe. Sisi tunampuuza sana tu.
Upinde ni kawaida yenu kupuuza vitu,mishipa ya aibu na utu imekatika.

Uzuri sisi tuliokamilika tunawaona nyie kama walemavu.

Endelea kupuuza anachosema Lema,sisi hatuna muda na wewe Wala upinde wenzio.
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Ni muda muafaka sasa kwa Mheshimiwa Mbowe kukichukua chama chake na kukifufua, maana tulisema Chadema inaenda kugeuzwa chama cha wanaharakati badala ya chama kikubwa cha upinzani kama hadhi waliyokuwa nayo kabla ya Mbowe kufanyiwa figisu.
Sio nyie mliosema Mbowe amekua mwenyekiti wa milele? Kaondokewa na sindano zinazama vzur matakoni mnaanza kupiga kelele Tena boo?
 
Usisahau hapa ni Afrika, Ruto aliingiliwa mpaka bungeni, je ametoka na walikuwa wanataka atoke?
Ukifikiri eti wazungu watawasaidia mtasubiri sana
Sisi tunajua ajenda yenu, na hapa mmekabiwa kwa juu
Kama unaona kila asiekubaliana na upupu wenu ni buku sana, basi mtakuwa masikini sana ndio maana mlipata nafasi ya kuiba mali za watu kwa kisingizio cha maandamano, ila uzuri moto mliopelekewa hamtakaa mjaribu tena.
Mbowe ni Statesman sio choka mbovu wa chadema ya leo.
Wee ng'ombe wa Samia tueleze kama zile tozo za Ruto bado zipo au alizifuta baada ya kupelekewa moto na akaishia kuunda serikali ya umoja wa Kitaifa na Odinga!
 
Na watakufa wengi tu, hata huyo Bi mkora anahesabu siku tu, Na vifo vyao itakuwa kudondoka hivi hivi kama panzi
 
Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga

Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema:

"Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"


View attachment 3514477
Duuh noma sana
 
Au ni kichelema wewe, wakati wa JK akina ulimboka hawakutekwa? Ni mpuuzi anayewaza mabaya ya nchi kuwa yalianzishwa na JPM
Magufuli alijenga msingi mbovu kabisa katika nchi hii, kuteka na kuua watu wakati mahakama zipo! Mama na yeye alivyoona maguli wanamsifiasfia, kuteka na kuua akaona ndo style ya mtu kuwa rais.
 
Upuuzi mtupu
Kumbe wabongo wengi mnaamini ramli
Wewe unaeamini hivyo halafu unaweka avatar ya huyo mwehu alieanzisha huo utekaji na kuua watu hovyo ndio maana yake nini
Wabongo huwa hamjielewi mnataka kila mtu aamini mnachoaamini nyinyi, mkipingwa mnaaza kuonyesha hisia zenu.
Dr.Ulimboka, Absolom Kibanda na Saed Kubenea yaliwakuta wakati wa Magufuli?
Kiongozi wa vijana waliopitia JKT wakaomba ajira akikutwa na nini kabla ya uongozi wa JPM?
Masheikh wa Jumuiya ya Uhamsho waliokutwa na nini awamu gani?
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Hatujasahau msitu wa Mabwe Pande ulipata umaarufu lini na kwa sababu zipi.
 
Kiherehere cha Jenista bungeni nadhani ni kwa sababu alikuwa ‘chief whip’ wa CCM kuna kipindi (kama sijakosea).

Halikadhalika mtu aamki asubuhi mzima na kuangauka ghafla tu, wamesha mKolimba ndio desturi yao hiyo CCM katika harakati za kujivika absolute powers
Ndio aliwahi kua chief whip.
 
Back
Top Bottom