(Kumbukizi) Lema: Jenista, kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa

(Kumbukizi) Lema: Jenista, kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa

Ni muda muafaka sasa kwa Mheshimiwa Mbowe kukichukua chama chake na kukifufua, maana tulisema Chadema inaenda kugeuzwa chama cha wanaharakati badala ya chama kikubwa cha upinzani kama hadhi waliyokuwa nayo kabla ya Mbowe kufanyiwa figisu.
Eti kafanyiwa figisu ngoja nikwambie kitu ndugu mimi sio mfuasi wa chama chochote cha siasa ila ulaghai wa Mbowe kucheza na akili za wanachama ili apige biashara nauona waziwazi wewe unashindwaje kuona?
 
Usichanganye mambo. Ninazungumzia kushindwa kwa Mbowe ndani ya chama chake.
Box la kura Tanzania ? Umesahau matamko ya machawa.

Hatuachii nchi kwa vikaratasi, huwezi kushindwa uchaguzi ukiwa na dola, tuliwatupa maporini, nk nk
 
Usisahau hapa ni Afrika, Ruto aliingiliwa mpaka bungeni, je ametoka na walikuwa wanataka atoke?
Ukifikiri eti wazungu watawasaidia mtasubiri sana
Sisi tunajua ajenda yenu, na hapa mmekabiwa kwa juu
Kama unaona kila asiekubaliana na upupu wenu ni buku sana, basi mtakuwa masikini sana ndio maana mlipata nafasi ya kuiba mali za watu kwa kisingizio cha maandamano, ila uzuri moto mliopelekewa hamtakaa mjaribu tena.
Mbowe ni Statesman sio choka mbovu wa chadema ya leo.
Makebo Reg Nov 29, 2025.

Mkuu pambana utatoboa
 
Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga

Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema:

"Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"


View attachment 3514477
Nabii Lemma amepita mule mule dadeq
 
Makebo Reg Nov 29, 2025.

Mkuu pambana utatoboa
Wala usitie shaka, hata angejisajili leo...hawa tunaenda nao mguu kwa mguu mpaka kieleweke.

Ni wazi kwamba waliowatuma huwa wanasoma humu pia.
 
Au ni kichelema wewe, wakati wa JK akina ulimboka hawakutekwa? Ni mpuuzi anayewaza mabaya ya nchi kuwa yalianzishwa na JPM
Kwanini wanasiasa hutetea sana mauaji wakilinganisha na tawala za nyuma.

Badala ya kulinganisha mambo mazuri, maendeleo, ugunduzi, ajira, ninyi mnaona ufahari kuua.

Mwafrica bahati mbaya.
 
G.Lema amekaa naye muda mrefu sana na kama aliona hivyo kwamba Jenista anapenda sana uwaziri basi ni wazi baada ya kukosa uwaziri pressure ikampanda ,kisukari kikapanda ,njungu zikagonga mwamba!
 
Kiherehere cha Jenista bungeni nadhani ni kwa sababu alikuwa ‘chief whip’ wa CCM kuna kipindi (kama sijakosea).

Halikadhalika mtu aamki asubuhi mzima na kuangauka ghafla tu, wamesha mKolimba ndio desturi yao hiyo CCM katika harakati za kujivika absolute powers
 
Wewe sasa hivi ni kama late jenista. Huwezi kuelewa faida ya utawala bora,katiba bora na utawala wa haki na sheria. Mpaka siku yakukute. Hata Polepole maneno ya akina Lema alichukulia kama wewe.
Sasa hivi nasoma humu JF kuhusu Mwambe. Sijui nini kinaendelea ila mambo aliyodai Lema yangekuwepo usingesikia aina hii ya matukio.
It's sad.
Huko mbali. Wakamuulize Majaliwa na Mpango maana nao wako lockdown.
Au Ummy.
Saa zingine ukiwa mzima huoni uhalali wa wanaolia wanaumwa hadi uumwe
 
Ni muda muafaka sasa kwa Mheshimiwa Mbowe kukichukua chama chake na kukifufua, maana tulisema Chadema inaenda kugeuzwa chama cha wanaharakati badala ya chama kikubwa cha upinzani kama hadhi waliyokuwa nayo kabla ya Mbowe kufanyiwa figisu.
Umenichekesha sana kwamba mbowe kufanyiwa figisu 🤣🤣🤣
 
Umeongea vingi kwa kuvirundika kwa pamoja hadi unahama kwenye lane.

Kama umeona wivu sisi kuiba Mali za watu kwenye maandamano,ona wivu pia kwa bwana zako sisiemu wanaoiba mabilioni ya umma na kuyakimbiza nchi za kiarabu pia.

Najua hizo pesa wanazoiba wao hazikuumi kwa sababu unapata chochote kitu.

Unatuonea wivu sisi tulioiba hiki kidogo cha kwenye maandamano, mkuu?
Kama unajisifia hivi kwa kuiba mali za watu wakati wa maandamano ya vurugu ya 29 Oct 2025 sijui kwa nini askari hawakukupiga risasi ya kichwa ili ubongo wako huo mbovu utawanyike kwa sababu huna faida duniani. Shithole!
 
Kama unajisifia hivi kwa kuiba mali za watu wakati wa maandamano ya vurugu ya 29 Oct 2025 sijui kwa nini askari hawakukupiga risasi ya kichwa ili ubongo wako huo mbovu utawanyike kwa sababu huna faida duniani. Shithole!
Kama askari wanipige shaba ya kichwa ndiyo ungeridhika,basi na mabwana zako kina dully wanaoibia nchi yenye watu milioni 70 wao wanastahili kukatwa shingo kama kuku mbele ya hadhara ya watz.

Inashangaza kuona unajifanya kuumia na inshu ya maandamano ila huumii kwa wanayofanya hao watoto wa wakubwa wanaowapangisha nyumba za kifahari masaki na upanga kisha mnaingiliana kinyume na maumbile na parties za kishetani.

Mashetani wakubwa nyie.
 
Back
Top Bottom