SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Alikuwa anatabasamu tu kwa dharau, imagine darasa la saba bashite kumfokea mtu mwenyewe masters degree.Hii video inaonyesha jamaa anaweza kucontrol emotion, badala ya kuonyesha kakasirika akatabasamu.
Great character
Na ndio tunapaswa kufanya kazi pasipo kufokeana mbele ya hadhara,hata ukikosea unaitwa unaambiwa kosa then unarekebishwa.Kufanya kazi kwa kufokea watu tena mbele ya hadhara? Huu ujinga hauna nafasi kwenye ustaarabu wa leo. Wewe unaona ni sawa kwa sababu pengine umekulia kwenye mazingira ambayo umeonyeshwa kuwa kufokea watu kwa majivo ndiyo kufanya kazi. Kazi unaweza kufanya vizuri kabisa bila ujinga kama huu.
Kuna watu wako bize kuwaita akina Mdee covid 19.Tujifunze kuweka Akiba ya maneno vyeo vyetu ni mapito tu watawala wajifunze kuishi na walio chini yao vizuriView attachment 1769274
View attachment 1769273
Na sijasema tuwe na siasa za kudekezana. Nimesema tuwe na siasa za kufuata kanuni na taratibu. Kwenye utumishi hakuna kanuni inayosema mtu anayekosea hufokewa. Mtu akikosea tayari kuna miongozo inasema ni nini kifanywe. Anyways, hili ni gumu kwa mtu aliyekulia kwenye mazingira ya ''low life'' kuelewa.Wewe hakuna siasa za kudekezana kama manataka maendeleo, Usiige watu wa Western wale wanajitambua.
Sisi bado sana kufika huko.
Maisha haya! Ongera ChongoloTujifunze kuweka Akiba ya maneno vyeo vyetu ni mapito tu watawala wajifunze kuishi na walio chini yao vizuriView attachment 1769274
View attachment 1769273
Akina Mdee kama wakipata vyeo huko CCM sisi wala hatuna shida nao,ishu ni kuwa hao siyo wanachama wa Chadema,na uwepo wao bungeni ni uvunjaji wa Katiba.Kuna watu wako bize kuwaita akina Mdee covid 19.
Je wataficha wapi sura zao wakiiona kesho ya kina Mdee?
Maneno makuu ambayo hua hayanitoki kichwani wangu TOKA KWA wakubwa zangu,Tujifunze kuweka Akiba ya maneno vyeo vyetu ni mapito tu watawala wajifunze kuishi na walio chini yao vizuriView attachment 1769274
View attachment 1769273
So mnamuona hata Kigwangala,siku zake za kuishi uraiani zinakalibia kuisha,baada ya kuwalukisha kichura wale asikali wa wanyana pori Tena watu wazima.Kufanya kazi kwa kufokea watu tena mbele ya hadhara? Huu ujinga hauna nafasi kwenye ustaarabu wa leo. Wewe unaona ni sawa kwa sababu pengine umekulia kwenye mazingira ambayo umeonyeshwa kuwa kufokea watu kwa majivuno ndiyo kufanya kazi. Kazi unaweza kufanya vizuri kabisa bila ujinga kama huu.
Ni moja kati ya watu wabaya sana kukutana nao hasa ukiwa unafanya ubaya juu yao.Hii video inaonyesha jamaa anaweza kucontrol emotion, badala ya kuonyesha kakasirika akatabasamu.
Great character
Ritz ni imani kali wakati Daniel ni mfumo kanisaRitz ndio Daniel Chongolo???
Hata mimi nimeshangaa jinsi alivoonesha control!Hii video inaonyesha jamaa anaweza kucontrol emotion, badala ya kuonyesha kakasirika akatabasamu.
Great character