Kumbukizi: RC Makonda akimfokea DC Chongolo

Kumbukizi: RC Makonda akimfokea DC Chongolo

Kufanya kazi kwa kufokea watu tena mbele ya hadhara? Huu ujinga hauna nafasi kwenye ustaarabu wa leo. Wewe unaona ni sawa kwa sababu pengine umekulia kwenye mazingira ambayo umeonyeshwa kuwa kufokea watu kwa majivo ndiyo kufanya kazi. Kazi unaweza kufanya vizuri kabisa bila ujinga kama huu.
Na ndio tunapaswa kufanya kazi pasipo kufokeana mbele ya hadhara,hata ukikosea unaitwa unaambiwa kosa then unarekebishwa.
 
Wewe hakuna siasa za kudekezana kama manataka maendeleo, Usiige watu wa Western wale wanajitambua.
Sisi bado sana kufika huko.
Na sijasema tuwe na siasa za kudekezana. Nimesema tuwe na siasa za kufuata kanuni na taratibu. Kwenye utumishi hakuna kanuni inayosema mtu anayekosea hufokewa. Mtu akikosea tayari kuna miongozo inasema ni nini kifanywe. Anyways, hili ni gumu kwa mtu aliyekulia kwenye mazingira ya ''low life'' kuelewa.
 
Tujifunze kuweka Akiba ya maneno vyeo vyetu ni mapito tu watawala wajifunze kuishi na walio chini yao vizuriView attachment 1769274

View attachment 1769273
Maneno makuu ambayo hua hayanitoki kichwani wangu TOKA KWA wakubwa zangu,
1,heshima kila mtu bila jali Hali yake,uchama, ukubwa wa majukum YAKO Kama kiongozi popote pale,mfungwa,kichaa,kilema kila mtu ananafasi yake katika dunia hii,
Hata hivyo kitendo Cha ccm kuendelea na natabia ya kuteua makachero katika nafasi za chama hata zile za kiserikali mfano wakuu wa wilaya, mkoa , nikuonesha wazi tz katiba mpya hakiepukiki,
Why mtumishi aliewahi itumikia nchi leo unampeleka kwenye chama hii sio sawa ,sisem chama kua na mfumo mzuri wa ulinzi KWA Mambo mengi si thambi, nasema chama kisomeshe vijana KWA KAZI Iyo, sio tumia watu tuliokwisha wasomesha KWA kodi zetu alafu wawachukua kisa mko madarakani ,jengeni mifumo,vinginevyo ni hatari KWA taifa Hili, wenda ndo kigogo mpo tu ,ccm mwafya hamchomoki hata mje na vifaru 100000 ,chadema yaenda kuunda serikali ijayo tumewakosa 2015, na tuliwapata 2020 mkachomoa betri KWA nguvu, so twaja 2025
 
Huyo katibu mkuu amekuja kushuhudia pengine kifo cha #CCM mikononi mwa huyo Mama!

2025 Sio mbali,Msoga mnafanya MAPINDUZI ya chama ila wananchi watafanya maamuzi sahihi.
 
Kufanya kazi kwa kufokea watu tena mbele ya hadhara? Huu ujinga hauna nafasi kwenye ustaarabu wa leo. Wewe unaona ni sawa kwa sababu pengine umekulia kwenye mazingira ambayo umeonyeshwa kuwa kufokea watu kwa majivuno ndiyo kufanya kazi. Kazi unaweza kufanya vizuri kabisa bila ujinga kama huu.
So mnamuona hata Kigwangala,siku zake za kuishi uraiani zinakalibia kuisha,baada ya kuwalukisha kichura wale asikali wa wanyana pori Tena watu wazima.
 
mimi sijaona akimfokea hapo zaidi ya kumtaka atulie,tena kwa kumnasihi kwa lugha ya staha
 
Hehehe ila karma is a bitch.


Malipo ni papa hapa Duniani.. Amini usiamini.
 
Hii video inaonyesha jamaa anaweza kucontrol emotion, badala ya kuonyesha kakasirika akatabasamu.

Great character
Ni moja kati ya watu wabaya sana kukutana nao hasa ukiwa unafanya ubaya juu yao.
 
Pamoja na yote hayo hao waliopo madarakani hawajapata somo. Unaweza ukakuta Makonda hajajifunza na Chongolo nae akarudia makosa kama au zaidi ya hilo la Makonda
Uongozi unatia watu wazimu
 
Back
Top Bottom